Freeman Mbowe: Rais Magufuli anaongoza nchi kidikteta, wananchi msiogope kusema ukweli

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa Viongozi waandamizi wa Chadema pamoja na wabunge leo akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani Kata ya Saranga! Muda amesema kuwa kwa sasa Raisi aliyepo madarakani John Pombe Magufuli anaongoza nchi kidikteta ndo maana amezuia mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kisheria...
Freeman Mbowe: 2020 Magufuli atakuwa Rais wa kwanza kuongoza kwa miaka mitano,hatutaogopa risasi wala mabomu:
Freeman Mbowe: Rais anataka watu waishi kama mashetani,Rais wa ajabu huyu anawaombea mabalaa watu wake:
Freeman Mbowe: Miaka kumi ya Kikwete ilikuwa nafuu na maisha yalikuwa mazuri kuliko miaka miwili ya Rais Magufuli,Heri ya kikwete mara mia:
Freeman Mbowe: Hatuwezi kukubali kuwa na Rais anayenuna wakati wote,tunamwambia legeza ulimi,ongea maneno matamu hataki:
Freeman Mbowe: Kimara mmebomolewa Nyumba kwa sababu hamkumchagua Magufuli,ameenda Mwanza amepiga marufuku bomoabomoa,akili kichwani mwenu wana Kimara
FB_IMG_1510433569748.jpg
FB_IMG_1510433566637.jpg
FB_IMG_1510433563497.jpg
FB_IMG_1510433556673.jpg

IMG_20171111_175738.jpg

IMG_20171111_175735.jpg


Mkutano huo upo live kupitia link hii

 

Attachments

  • FB_IMG_1510433560081.jpg
    FB_IMG_1510433560081.jpg
    28.7 KB · Views: 92
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe leo akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani Kata ya Saranga! Muda hamesema kuwa kwa sasa Raisi aliyepo madarakani John Pombe Magufuli anaongoza nchi kidikteta ndo maana amezuia mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kisheria...
View attachment 628766
View attachment 628767

Mkutano huo upo live kupitia link hii

Sisi ndio tunapenda kuongozwa kidikteta yan tuna enjoy sana..kwan ulitaka muendelee kupitisha mafuta bandarini bila.flow meter?? Mkipigwa pini udikteta?? Mbowe kuteua madem zake viti maalumu inaitwaje hiyo?? Kila anachotaka mbowe chadema ndio kinafanyika je inaitwaje hiyo?? Muacheni Raisi apige kazi.
 
Sisi ndio tunapenda kuongozwa kidikteta yan tuna enjoy sana..kwan ulitaka muendelee kupitisha mafuta bandarini bila.flow meter?? Mkipigwa pini udikteta?? Mbowe kuteua madem zake viti maalumu inaitwaje hiyo?? Kila anachotaka mbowe chadema ndio kinafanyika je inaitwaje hiyo?? Muacheni Raisi apige kazi.
Sema wewe ndo unapenda kuongozwa ki dikteta sio sisi
 
Mbowe ana hamasisha wakati yeye mwoga,wakati ule sizonje alimkanya sitaki kusikia UKUTA akawa mpole,ingekuwa Prof msomi Lipumba ningeunga mkono akisema anatimua kweli anatekeleza
 
Hii kauli ya Mbowe kusema Rais MAGFULI ni dikteta ingesemwa na mwingne si huyu jamaa
kwanza yeye apo alipo tayari ameisha onyesha udikteta wa hali ya juu sana ndani ya chama chake......
Chacha Wangwe kapotea sababu yake
Zitto kakimbia chama sababu yake
Slaa kakimbia chama na nchi sababu yake....
Majina ya wabunge viti maalumu anatoa mifukoni kwake na mahawala zake
kang'ang'ania Uenyekiti zaidi ya miaka 20 Utafikiri mfalme huu ndio tunaita Udikteta na hapo hawajashika NCHII.....
Mwambieni nyani aone kundule lake.......
UDIKTETA WA MAGUFULI MBNA RAHA SANA...mbna safi....TUNGEKUWA HATUUTAKI kama ni tunavyoamishwa na hawa wapuuzi MBNA TUNGEKUWA BArabarani sasa hivi

MBOWE KAMA KWELI ANASEMA UKWELI AITISHE MAANDAMANO TUONE RESPONSE TOKA KWA WANANCHI......mbna ataumbuka asubuhi.....SASA WANANCHI HATUTAKI HIZI BLA BLA ZENU TUNATAKA VITENDO.....IGENI MFANO KWA MAGUFULI MANENO HANA YEYE NI VITENDO TU......sasa na nyie pingeni kwa vitendo
 
Nyimbo ya udikteta haina mashiko,watu tunataka maendeleo
Hata mbowe ni dikteta,lakini mnasema amekitoa chama kutoka wabunge wawili hadi 40,hatuyumbi na maneno ya msanii mbowe
 
Back
Top Bottom