CHADEMA wanaona kama Rais Samia walimteua wao na siyo legacy ya Hayati Magufuli

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Tokea Freeman Mbowe alambe asali viongozi wa Chadema wanakosoa serikali ya Rais Samia kwa umakini mkubwa ili wasimkwaze akamnyima asali mwenyekiti wao. Hata ripoti ya CAG ya mwaka 2023 wanalazimika kumkosoa na kumtajataja Magufuli ambaye hayupo madarakani na duniani kwa miaka 2 iliyopita.

Enzi ya Hayati Rais Magufuli TISS( usalama wa taifa) walisimamiwa vizuri na walifanya kazi yao kwelikweli kuzuia hujuma zote kwa taifa hadi nchi ikaingia uchumi wa kati miaka 5 mapema zaidi tofauti na ilivyokuwa imetabiriwa na mabeberu kwamba Tanzania itachukua miaka 10 kuingia uchumi wa kati!.

Tanzania iligeuka si salama kwa wahujumu uchumi wote ikiwemo Tundu Lissu aliyekuwa anatuma meseji kwa Acacia wampe nyaraka ili aone jinsi ya kuwasaidia ili Tanzania ishitakiwe MIGA, Akina Erick Kabendera hawataisahau TISS ya awamu ya tano kwani ilijua kuwafuatilia na kuwatia adabu mawakala wa mabeberu hapa nchini, hata ilipoingia corona Freeman Mbowe alijipapatua kwa kulazimisha iwepo lockdown Tanzania lakini alikiona cha moto kutoka kwa usalama wa taifa kwani walimwanika hadharani namna anavyosaliti taifa.
 
Magufuli alilazimishwa tu na chama. Alikuwa hampendi huyo mama, mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kuwa alimpenda Dk Mwinyi.

Na Kuna kipindi mama alitaka kujiuzulu kwa kuwa jiwe alikuwa akimtusi matusi ya nguoni kama mkewe. Jiwe akamtishia kifo, mama akawa mpole.

Kila uchochoro mnaotaka kupitisha legacy tunauziba.

Legacy........ziii.
 
Kwa nini hakulazimishwa amteue Dj sasa
 
Tokea Freeman Mbowe alambe asali viongozi wa Chadema wanakosoa serikali ya Rais Samia kwa umakini mkubwa ili wasimkwaze akamnyima asali mwenyekiti wao. Hata ripoti ya CAG ya mwaka 2023 wanalazimika kumkosoa na kumtajataja Magufuli ambaye hayupo madarakani na duniani kwa miaka 2 iliyopita.

Enzi ya Hayati Rais Magufuli TISS( usalama wa taifa) walisimamiwa vizuri na walifanya kazi yao kwelikweli kuzuia hujuma zote kwa taifa hadi nchi ikaingia uchumi wa kati miaka 5 mapema zaidi tofauti na ilivyokuwa imetabiriwa na mabeberu kwamba Tanzania itachukua miaka 10 kuingia uchumi wa kati!.

Tanzania iligeuka si salama kwa wahujumu uchumi wote ikiwemo Tundu Lisu aliyekuwa anatuma meseji kwa Acacia wampe nyaraka ili aone jinsi ya kuwasaidia ili Tanzania ishitakiwe MIGA, Akina Erick Kabendera hawataisahau TISS ya awamu ya tano kwani ilijua kuwafuatilia na kuwatia adabu mawakala wa mabeberu hapa nchini, hata ilipoingia corona Freeman Mbowe alijipapatua kwa kulazimisha iwepo lockdown Tanzania lakini alikiona cha moto kutoka kwa usalama wa taifa kwani walimwanika hadharani namna anavyosaliti taifa.
Samia yupo pale kisa katiba na wala si legacy ya nduli yeyote. Katiba inatamka wazi kuwa Rais akifa, makamu wake anachukua nchi. Hayo ya legacy ni uwongo wa wazi
 
Uhasama wa chadomo ni kati ya mtu na mtu. Wakimchukia kiongozi wanatengeneza fitina,faraka na uzushi! wakimkubali/wakikubaliana naye wanakuwa kama nyuki wa mashineni.
Inasikitisha sana kuwa na chama cha kisiasa cha kipuuzi namna hii.
 
Magufuli na sukuma gang wote wapumbavu ndio maana Samia alipoingia madarakan watu hawajatekwa wala kuuwawa na na genge lenu la watu wasiojulikana na sasa baada ya samia kugundua kuwa sukuma gang ni wapumbavu akawaletea tetezi la mashoga maana ndio kaz mliyobakia nayo baada ya mirija yenu kukatwa.
 
Nakuonea huruma sana malalamiko unayotoa na kichwa cha habari ni vitu viwili tofauti. Asubuhi umeamka na tuhuma za Rushwa ya ml 65 na pichq za vyoo juu. Sasaiv upo na mbowe na chadema.???? Mkuu hakuna vyama Vingine huku duniani?
 
magufuli na sukuma gang wote wapumbavu ndio maana Samia alipoingia madarakan watu hawajatekwa wala kuuwawa na na genge lenu la watu wasiojulikana na sasa baada ya samia kugundua kuwa sukuma gang ni wapumbavu akawaletea tetezi la mashoga maana ndio kaz mliyobakia nayo baada ya mirija yenu kukatwa.
Lakini Rais Samia aliteuliwa na Chadema?
 
Chadema wanajiona nao ni wanahisa katika awamu hii ya ufisadi.

Chadema Wana historia ya kusafisha mafisadi hivyo kuungaa mkono awamu inayopendelea wapigaji ni muendelezo wa vipaji vyao tu.
 
kwani chadema ipo? yule mpumbavu wenu si aliwaaminisha kuwa chadema haipo au wewe ungaongelea chadema ipi, kwa akili kama zako hiz ni bora Samia awaletee tetez la mashoga ili muendelee kuwa mashoga wapuuz nyinyi.
Nyumbu wanaamini chadema ipo
 
magufuli na sukuma gang wote wapumbavu ndio maana Samia alipoingia madarakan watu hawajatekwa wala kuuwawa na na genge lenu la watu wasiojulikana na sasa baada ya samia kugundua kuwa sukuma gang ni wapumbavu akawaletea tetezi la mashoga maana ndio kaz mliyobakia nayo baada ya mirija yenu kukatwa.
Naomba kuuliza!! "Wwe ni CDM au ni CCM!!?? Maana siku hizi wote mnanichanganya naona wote ni walewale tu hakuna tofauti!!!
 
Chadema wanajiona nao ni wanahisa katika awamu hii ya ufisadi.

Chadema Wana historia ya kusafisha mafisadi hivyo kuungaa mkono awamu inayopendelea wapigaji ni muendelezo wa vipaji vyao tu.
Tupo hapa tulipo ambapo hatuwezi kuhoji kitu, hatuwezi kuandamana thanks to mungu wenu mwendazake. Mlivyo ma faken bado mnampigia debe. Kenge huwa haelewi somo hadi damu imtoke. Wewe na wenzio ni kenge plus
 
Chadema wanajiona nao ni wanahisa katika awamu hii ya ufisadi.

Chadema Wana historia ya kusafisha mafisadi hivyo kuungaa mkono awamu inayopendelea wapigaji ni muendelezo wa vipaji vyao tu.
mashoga ya ccm taften kaz halali za kufanya ikifika 2025 nawahakikishia msipotafta kaz halali either mtoweke kwa kufa njaa au muendelez kaz yenu mliyoletewa hadi mtetezi ikulu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom