Jalood
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 748
- 125
Angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa Chadema.
Mimi sasa nakubaliana na waliosema una maradhi na Daktari wako anaitwa Dr. Alex wa Kule UK
Angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa Chadema.
Mkuu bila hizo mbio za kibati Mwenezi wangempata wapi????
Unazungumzia zile sherehe za mbio za kibatari cha magamba? Then mnakesha mkifanya ngono zembe na kujaza wasichana wa shule za msingi mimba? Hizo chadema na mh.mbowe hawawezi kuhudhuria hata kidogo.
Angalau mpira anahudhuria maana sherehe za kitaifa walisusa kabisa Chadema.
Hzo sherehe za taifa zinafaida gani kwa taifa zaidi ya wizi.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe muda mfupi ujao ataingia uwanja wa Taifa kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga.
Faida Siioni maana kila sherehe hutumika mamilioni ya hela wakati dawa Hakuna hospital, wagonjwa wanakula chini
miaka hamsini ya uhuru wa kuiba mali za uma?
Mkuu ni kweli huyu zemarcopolo na chris lukosi wanavurugwa ki-elton john.