Freeman Mbowe na Ester Matiko kuzungumza na wandishi wa Habari leo Makao Makuu ya CHADEMA

Mbowe ajiuzulu uenyekiti wa chama kitendo cha kumuuzia nafasi ya kugombea urais Lowasa kimeichafua sana Chadema sasa hivi wanachama wote wa Chadema hawana imani nae
M/kiti ccm taifa ,magufuli ajihuzulu uenyekiti pamoja na urais ,kwasababu katengeneza matabaka na mgawanyiko ndani ya chama na taifa kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ajiuzulu uenyekiti wa chama kitendo cha kumuuzia nafasi ya kugombea urais Lowasa kimeichafua sana Chadema sasa hivi wanachama wote wa Chadema hawana imani nae
Kwamwambie mwenyekiti wenu ajiuzuru mbowe hatojiuzuru mpaka utakufa kama ruge na kibonde wanasisiem wenzenu na mtakufa sana.
 
Back
Top Bottom