Wajadili hoja ipi wakati umeandika utumbo?
kwa maslai ya chadema mue mnakubali wakosolewe,mbona JK anakosolewa
ss 60% ya wagombea ni matapishi ya ccm na wamewekewa pingamizi mh mbowe jiuzulu uongozi umekushinda acha kupeleka kwa pm
BAk hii style ya kupindisha hoja itaizika chadema.kila chadema ikilaumiwa mnarukia Epa au Escrow.badala ya kupangua hoja iliopo.Unataka kuniaminisha kwa kuwa kikwete ni muongo basi ni sahihi mbowe kuwa muongo
mm ni critical thinker mm sio level yk better go
Dah! Huwa najiuliza hivi Chadema ni chama cha siasa au ni dini!! Maana watu hawataki kabisa kikosolewe.
BAk hii style ya kupindisha hoja itaizika chadema.kila chadema ikilaumiwa mnarukia Epa au Escrow.badala ya kupangua hoja iliopo.Unataka kuniaminisha kwa kuwa kikwete ni muongo basi ni sahihi mbowe kuwa muongo
Hakuna kiongozi muongo kuliko au kama kikwete kwenye hii dunia.
Wewe wasema lakini ukweli utabaki palepale.
Waweza kujifurahisha kwa maneno yoyote ila ukweli
utakuwa unaonekana. Hongereni chadema
tunawasubiri ikulu 2015