Freeman Mbowe na dk. Slaa ni viongozi waongo sana

Freeman Mbowe na dk. Slaa ni viongozi waongo sana

viongozi wabovu always hung'ang'ania madaraka wakati uwezo mdg
 
KUNA MSEMO USEMAO UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU.

Kuna wengine wataona labda siwapendi viongozi la hasha!
Ukiwa kiongozi unapaswa kuzungumza unayoishi.

MH. MBOWE MARA NYINGI AMEDAI UCHAGUZI WA 2014/15 CHADEMA ITAKUA IMEKOMAA KITAASISI NA ITAKUA INAANDAA VIONGOZI WAKE YENYEWE
FACTS/TRUTH METER
Katika uchaguzi serikali CHADEMA imesimamisha wagombea wake waliokimbia CCM baada ya kuchujwa.
MATOKEO

Wengu wamewekewa pingamizi wengine hawakuaga kabla ya kujiunga CHADEMA.Ukiacha kuna mgombea aliwekewa pingamizi hajui kusoma tofauti na kauli ya Mbowe ya kuandaa viongozi.

UDHAIFU

Sasa mh. Mbowe ameandika barua kwa waziri mkuu akilalalamika.What kind of a leader we have.

Mtu atakula kwa urefu wa kamba yake. Huo ndiyo urefu wa kamba yako. Wahi malipo if you are paid on daily basis.
 
Back
Top Bottom