Freeman Mbowe na dk. Slaa ni viongozi waongo sana

Freeman Mbowe na dk. Slaa ni viongozi waongo sana

KUNA MSEMO USEMAO UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU.
kuna wengine wataona labda siwapendi viongozi la hasha!!!
ukiwa kiongozi unapaswa kuzungumza unayoishi.
MH MBOWE MARA NYINGI AMEDAI UCHAGUZI WA 2014/15 CHADEMA ITAKUA IMEKOMAA KITAASISI NA ITAKUA INAANDAA VIONGOZI WAKE YENYEWE
FACTS/TRUTH METER
KATIKA uchaguzi serikali chadema imesimamisha wagombea wake waliokimbia ccm baada ya kuchujwa
MATOKEO
WENGI WAMEWEKEWA PINGAMIZI WENGINE HAWAKUAGA KABLA YA KUJIUNGA CHADEMA.
UKIACHA KUNA MGOMBEA ALIWEKEWA PINGAMIZI HAJUI KUSOMA TOFAUTI NA KAULI YAB MBOWE YA KUANDAA VIONGOZI

UDHAIFU
SS MH. MBOWE AMEANDIKA BARUA KWA PM AKILALAMIKA. WHAT KIND OF A LEADER WE HAV?

Kwa sasa hivi jikite katika kuondoa nuksi mliyojipalia ju ya suala la escrow"
Viongozi wenu WOOOTE NI WEZI WA KUPINDUKIA.
Sasa hivi kumsema Mbowe na Skaa ni kujisumbua bure.
 
mkuu hembu jb uzi kisha tutajadili hoja yako usidivert

assadsyria3 Jibu lako liko hapo CHINI kwa PICHA MARIZAWA --- CCM OYEEEE

10689476_320664064802495_1579968799082168238_n.jpg

Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.​
 
Poor comment! Nisawa, lakini si ajira yenu ilianza mara tu baada ya boss wenu Mwigulu kutangaza rasmi kuwa adui yake mkubwa ni Dr Slaa? Kwani kabla ya hapo mlikuwa na hiyo ajira ya matusi kwa Dr Slaa?

Haya maelezo ni uchafu mtupu
 
Kuna muongo kama Kikwete aliyedai kwamba pesa za EPA zimerudishwa na hadi hii leo kashindwa kutoa ushahidi wa aina yoyote ile kuonyesha kwamba pesa za EPA zimerudishwa? Ahadi zake chungu nzima kwa mfano kuigeuza Kigoma eti kuwa Dubai ya Afrika!!!! Kuna uongo zaidi ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya!? Fungua akili yako acha kujifanya zezeta.
Wewe hauna tofauti na mzigo wa takataka.
 
assadsyria3 Na hao wanaotutawala wanaochota hizo pesa za ESCROW sio waongo ? Wananchi hawana DAWA MAHOSPITALINI; Wanakufa na Magonjwa Madogo Madogo wewe na hao viongozi hao Mnakimbilia nje hata kucheki hayo Macho yenu ili muweze kuhesabu hizo pesa za ESCROW vizuri...

Ndio namba moja kuwaita wengine waongo ili tu muendelee kushibisha hayo matumbo yenu; Nchi wahisani wamegoma kutoa pesa sasa mtafanya nini? mtauza madawa ya kulevya???

Siasa sio hii unayoiongelea JIANDAE kuwa MSAFI sio WIZI...
Ulishatutangazia humu kuwa wewe ni msaliti, muongo na mzandiki unayekula na kunufaika na mshahara wa serikali iliyopo madarakani huku ukiisaliti. Utabaki hivyo hivyo
 
assadsyria3 Jibu lako liko hapo CHINI kwa PICHA MARIZAWA --- CCM OYEEEE

10689476_320664064802495_1579968799082168238_n.jpg

Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.​

sasa ndo nini? pesa za kuonga watu kwanini msizipeleke zikajenge maabara?
 
Ulishatutangazia humu kuwa wewe ni msaliti, muongo na mzandiki unayekula na kunufaika na mshahara wa serikali iliyopo madarakani huku ukiisaliti. Utabaki hivyo hivyo

That is what is called a real Democracy
 
magambaaa bwanaa mnambwembwe!!!!.....hamuachi kuwaaangamiza wananchi...
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa Chadema hawajajiandaa kabisa. ACT wameonyesha ukomavu kupita Chadema. Tatizo viongozi wa Chadema Mbowe na Slaa hawana nia dhabiti kabisa ya kujenga Chama., wanafikiria kupiga pesa za chama tu
 
hahaha
 
Back
Top Bottom