Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,540
- 284,042
Sina hamu kabisa na Mbowe, ametuuza kwa ccm.Mwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .
Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .
Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .
Tulia kidogo , meza mate halafu urudiSina hamu kabisa na Mbowe, ametuuza kwa ccm.
Tangu lini shetani akawa rafiki?
Mwafaka gani wa kisiasa na adui wa nchi?
Hujui chochote kuhusu Mbowe , Shut Up !Hana jipya lolote na muda siyo mrefu atafurushwa na wanachama Kama Mbatia maana wamemchoka hasa baada ya kutolewa zinakokwenda Ruzuku na michango yote iliyokuwa Inapatikana
Tulia kidogo , meza mate halafu
Kwa hiyo wewe unamjuwa Sana huyo Mbowe?Hujui chochote kuhusu Mbowe , Shut Up !
Media zote zitaripoti jambo hilo , njia pekee ya kutosikiliza jambo hilo ni kufa kabla ya tarehe husika , uko tayari kufa kabla ya tarehe 1/10/2022 ?Sitafatilia
Weka namba ya simu upewe ukuu wa wilayaHana jipya lolote na muda siyo mrefu atafurushwa na wanachama Kama Mbatia maana wamemchoka hasa baada ya kutolewa zinakokwenda Ruzuku na michango yote iliyokuwa Inapatikana
Wamempatia kwl Mbowe mzee ajiuzulu anasubiri nini? Mbowe ni shetani wa mabadiliko.Mwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .
Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .
Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .
Tunamjua kuliko wewe ngedereHujui chochote kuhusu Mbowe , Shut Up !
Mbona alipowekwa ndani hukumsaidia uwekwe wewe badala yakeNajua tunamwamini mwamba lakini amezidiwa kete.
Tuindoe mahaba kwenye ukweli
Sasa unalia nini ?Wamempatia kwl Mbowe mzee ajiuzulu anasubiri nini? Mbowe ni shetani wa mabadiliko.
Amekuwa Mzee sasa. Chama kinahitaji damu mpyaMwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .
Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .
Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .
2PacDear Mama
Uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu pekeeWeka namba ya simu upewe ukuu wa wilaya