Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha

Angalizo kwenu wakuu tuwapo mahakamani kesho, mkumbuke kuwa mahakama haina chama tukiwa mahakamani tusilete siasa tukajikuta tunaishia mahabusu/jela,hivyo kushindwa kuendeleza elimu ya uraia Uraiani.

Mfa maji haachi kutapatapa.Nani anagharamia hiyo kesi?

Yeees, nchi hii inatawaliwa kwa kufuata misingi ya sheria. Tuiache sheria ifuate mkondo wake.
Hii ni kesi ya serikali dhidi ya chama dume!
Hakuna mkondo wa sheria hapa. upuuzi mtupu!!

Angalizo kwenu wakuu tuwapo mahakamani kesho, mkumbuke kuwa mahakama haina chama tukiwa mahakamani tusilete siasa tukajikuta tunaishia mahabusu/jela,hivyo kushindwa kuendeleza elimu ya uraia Uraiani.

Hengo,acha uoga,historia haiwakumbuki waoga,

mkuu kichwa cha habari chahusika hapo juu! heshima iongezeko zaidi, kutoka MB hadi KUB
pamoja sana hapo kesho, nakuja na kadi yangu kama kawa niwe mshtakiwa namba moja.

Maana yake ni kwamba mahakama imeruhusu maandamamno ya wanachama wa CHADEMA kutokea ofisi ya CHADEMA kuelekea mahakamani.

Kibali ni hii summon ya mahakama kama mshitakiwa wa kwanza na kadi ya uanachama wa CHADEMA.

Asubuhi viongozi watoe photocopy nyingi za hati hiyo ya mahakama ili polisi wakkijipanga barabarani waonyeshwe kuwa Mahakama kwa namna moja imeitisha mkusanyiko halali wa wana-CHADEMA pale Mahakamani na ni uhuru wao kupita njia yoyote kufika mahakamani.

Hapo ni Arusha. Sehamu zingine nchini wana-CHADEMA wanaweza kutafuta sehemu moja wakakusanyika na kuandamana kuelekea eneo lolote ili kukaa na kusikiliza maendeleo ya kesi hata kama ni kwa kutumia simu zao.

Ndipo hapo watakapojua wameamsha wenyewe mandamano nchi nzim bila wao kujijua!

Tunashukuru kwa Taarifa mkuu kesho nitatuma wajumbe

Hengo,acha uoga,historia haiwakumbuki waoga,

Hata wewe unasubiri kukumbukwa na historia?? Kwa lipi uliloitendea Tz?? Mbowe na CDM yako watakutumia kama toilet paper, baadaye usanii utatembezwa kwa njia ya magwanda kukugombea. Sanasaana...utakumbukwa na shangazi zako...period. THAT'S YOUR POOR POLITICAL PARTY.

Ahsante sana mkuu kwa taarifa yako. Tuko pamoja.

Hata wewe unasubiri kukumbukwa na historia?? Kwa lipi uliloitendea Tz?? Mbowe na CDM yako watakutumia kama toilet paper, baadaye usanii utatembezwa kwa njia ya magwanda kukugombea. Sanasaana...utakumbukwa na shangazi zako...period. THAT'S YOUR POOR POLITICAL PARTy

Mkuu,bado upo kumbe?!
Habari za Ccm?

Maana yake ni kwamba mahakama imeruhusu maandamamno ya wanachama wa CHADEMA kutokea ofisi ya CHADEMA kuelekea mahakamani.

Kibali ni hii summon ya mahakama kama mshitakiwa wa kwanza na kadi ya uanachama wa CHADEMA.

Asubuhi viongozi watoe photocopy nyingi za hati hiyo ya mahakama ili polisi wakkijipanga barabarani waonyeshwe kuwa Mahakama kwa namna moja imeitisha mkusanyiko halali wa wana-CHADEMA pale Mahakamani na ni uhuru wao kupita njia yoyote kufika mahakamani.

Hapo ni Arusha. Sehamu zingine nchini wana-CHADEMA wanaweza kutafuta sehemu moja wakakusanyika na kuandamana kuelekea eneo lolote ili kukaa na kusikiliza maendeleo ya kesi hata kama ni kwa kutumia simu zao.

Ndipo hapo watakapojua wameamsha wenyewe mandamano nchi nzim bila wao kujijua!

Chama cha siasa kina wadhamini ambao ndio wanakiwakilisha kama kinashtakiwa na si wanachama wote

Hata wewe unasubiri kukumbukwa na historia?? Kwa lipi uliloitendea Tz?? Mbowe na CDM yako watakutumia kama toilet paper, baadaye usanii utatembezwa kwa njia ya magwanda kukugombea. Sanasaana...utakumbukwa na shangazi zako...period. THAT'S YOUR POOR POLITICAL PARTY.

Na wewe unatumiwa kama dawa ya penzi na ccm,hutakumbukwa na mtu yeyote kwa ujinga wako.

@ kwayu hawa madiwani walichemka mshitakiwa wa kwanza cdm mshitakiwa wa 2 freeman mbowe wala hawajamshitaki kwa wadhifa wake wamemshitaki personal na cdm hawajaainisha ni wathamini au wanachama wote

lazima hapa atajulikana tu nani anaye wapa kiburi na wapa pole kwa kusamini mshiko kuliko wale waliowatuma..

Kama kawaiiidaaa! Tutakuwa mahakamani na na tutareport live kama kawaida yetu!

Hakuna kulala mpaka kieleweke! Na ili kuweka mambo sawa, nitakuwa na kadi yangu mfukoni na nitafahamika kama mtuhumiwa namba moja!
mkuu umeshafika

Back
Top Bottom