Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanyaro Ephata, Sep 1, 2011.

1. Nanyaro Ephata

Nanyaro Ephata Verified User

#1
Sep 1, 2011
Joined: Jan 22, 2011
Messages: 979
Likes Received: 182
Trophy Points: 60
Wanajamvi,

Kesho mwenyekiti taifa chadema Kamanda Mbowe atasimama mahakamani kesho mjini Arusha,hii ni kesi iliyofunguliwa na waliokuwa madiwani,
Mshitakiwa wa kwanza ni Chadema na Mbowe ni mshitakiwa wa pili

Tunawaomba wanachama wote kujitokeza kwa wingi hiyo kesho kusikiliza mwendelezo wa kesi hii

2. Mungi

Mungi JF Gold Member

#2
Sep 1, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
Asante kwa taarifa mkuu, hata hivyo siku ya kesho nilishaiweka kwenye Diary yangu.

3. Mumwi

Mumwi JF-Expert Member

#3
Sep 1, 2011
Joined: Jan 9, 2011
Messages: 592
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Asante kwa taarifa mkuu.

4. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#4
Sep 1, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 358
Trophy Points: 180
Kwa vile mimi ni mshitakiwa lazima nitakuwepo.

5. N

Nikupateje JF-Expert Member

#5
Sep 1, 2011
Joined: Dec 22, 2009
Messages: 1,314
Likes Received: 105
Trophy Points: 160
Mkuu, umesahau kufafanua sababu ya wana-CHADEMA kutakiwa kuja kwa wingi pale mahakamani.

Sababu ni kwamba Mbowe ni mshtakiwa wa pili kwenye hati ya mashtaka. Mshtakiwa wa kwanza ni CHADEMA.

Ndipo hapo Bw. Samson Mwigaba anasema huyo mtu anayeitwa CHADEMA hajulikani. Na kwa vile CHADEMA ni Chama basi kila mwenye kadi ya CHADEMA ni mwanachama.

Hivyo wito ni kwamba wote siku za kesi wafike mahakamani. Suala la uwezo wa mahakama kujaza wana-CHADEMA wote nchini hilo watajua wao mahakama na walalamikaji.

Source: TZ DAIMA

6. Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka JF Bronze Member

#6
Sep 1, 2011
Joined: Jul 20, 2010
Messages: 4,530
Likes Received: 41
Trophy Points: 0
Hii nchi jamani.lazima.kuna siku. Tutageuzana tu.kila mtu atanena kwa lugha yake.

7. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#7
Sep 1, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,330
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
Kama kawaiiidaaa! Tutakuwa mahakamani na na tutareport live kama kawaida yetu!
Hakuna kulala mpaka kieleweke! Na ili kuweka mambo sawa, nitakuwa na kadi yangu mfukoni na nitafahamika kama mtuhumiwa namba moja!

8. Nanyaro Ephata

Nanyaro Ephata Verified User

#8
Sep 1, 2011
Joined: Jan 22, 2011
Messages: 979
Likes Received: 182
Trophy Points: 60

Lazima tuonyeshe maana ya nguvu ya umma....

9. K

Kwayu JF-Expert Member

#9
Sep 1, 2011
Joined: Nov 8, 2007
Messages: 487
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
kamanda
nanyaro،kwa nini mbowe awe mshtakiwa wa pili na cyo mtu mwingine yeyote yule

10. 2

2simamesote Senior Member

#10
Sep 1, 2011
Joined: Jun 27, 2011
Messages: 109
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kazi kweli kweli

11. Kishongo

Kishongo JF-Expert Member

#11
Sep 1, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 932
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Yeees, nchi hii inatawaliwa kwa kufuata misingi ya sheria. Tuiache sheria ifuate mkondo wake.

12. M

Makupa JF-Expert Member

#12
Sep 1, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 2,742
Likes Received: 67
Trophy Points: 145

ni lazima asulubiwe kwa makosa yake

13. nice 2

nice 2 JF-Expert Member

#13
Sep 1, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 746
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Tena mshitakiwa namba 1! Safi sana usikose.

14. Nanyaro Ephata

Nanyaro Ephata Verified User

#14
Sep 1, 2011
Joined: Jan 22, 2011
Messages: 979
Likes Received: 182
Trophy Points: 60

Mkuu hata mimi sijui,waliofungua kesi ndio wanajua,njoo kesho mahakamani,ili tujue

15. mpiganiahaki

mpiganiahaki Senior Member

#15
Sep 1, 2011
Joined: Apr 28, 2011
Messages: 153
Likes Received: 33
Trophy Points: 45
lazima waaibike kwenye nguvu ya umma

16. mpiganiahaki

mpiganiahaki Senior Member

#16
Sep 1, 2011
Joined: Apr 28, 2011
Messages: 153
Likes Received: 33
Trophy Points: 45
wataifuta hiyo kesi bila kupenda bila kushirikishana magamba

17. BABU CHONDO

BABU CHONDO JF-Expert Member

#17
Sep 1, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 859
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Yes hata mie sidhani kamma nitakosa,kadi mfukoni

18. THINKINGBEING

THINKINGBEING JF-Expert Member

#18
Sep 1, 2011
Joined: Aug 9, 2010
Messages: 2,726
Likes Received: 854
Trophy Points: 280
Sasa watuhumiwa namba moja mbona tuko wengi sana?

19. g

graceirene Member

#19
Sep 1, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 24
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
@ kwayu hawa madiwani walichemka mshitakiwa wa kwanza cdm mshitakiwa wa 2 freeman mbowe wala hawajamshitaki kwa wadhifa wake wamemshitaki personal na cdm hawajaainisha ni wathamini au wanachama wote

20. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#20
Sep 1, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,126
Likes Received: 1,705
Trophy Points: 280
Kumbe walifungua kesi mahakamani? Kazi kwelikweli!

Loading...