Freeman Mbowe Kutikisa Sherehe za Ruto

Freeman Mbowe Kutikisa Sherehe za Ruto

Huko Kenya wala hawajui Mbowe ni raia wa nchi gani, wala hawajui sura na shughuli zake, acheni ku publicize ur own news kwenye gazeti lake Mbowe alafu mnatuletea pumba humu, no one knows Mbowe at all in Kenya, kama hujaelewa, kaelewe huko
Sasa kama hawamjui wewe unalia kwa sababu gani? Basi wana kujua wew Jay One,haya umefurahi sasa?
 
Chama chetu CHADEMA kinatambulikana kuwa ni chama cha kweli cha siasa tofauti na vyama-kongwe-dola vilivyojibatiza kuwa ni revolutionary (mapinduzi) ambavyo havina ushawishi wala uhalali wa kutambulikana kama vyama vya siasa katika karne hii tuliyo nayo.
Uko sahihi.
 
sitoshangaa akipewa nafasi ya kusalimia umma wa kenya akisema ametumwa na rais samia kuja kumwakilisha. si unajua tena siasa zetu za east africa.
Hahaha....ametumwa na Kamati Kuu ya Chama makini
 
Nani anaweza kulinganishwa na Freeman Mbowe? Mtu ambaye alikuwa na uwezo wa kuishi bila bugdha, tena angetaka angeweza kuishi kwa anasa na starehe, lakini akayaacha yote, akachagua maisha ya mateso kwaajili ya mapenzi ya kweli kwa Taifa lake!! Wangapi wanaoliweza hilo? Wengi tumeshindwa. Mbowe ameliishi hilo.

Mungu wa haki na uhuru, kwa rehema zako, endelea kumlinda, kumbariki, kumwinua Mbowe na wengine wote wanaopigania na kupenda haki, bila ya kuangalia vyama vyao, maana wanapigania haki na ule uhuru wa kweli ambao Mungu alimwumba nao mwanadamu. Na wale wadidimizaji wa haki na uhuru wa kweli wazidi kudhaririki hata siku za uzee wao.

Shukrani kwa Ruto kuitambua nafasi ya Mbowe katika kupigania haki, uhuru na demokrasia ya kweli..
Mh Freeman is an exception Political Leader in our todays time.
 
Vipi huyo Mbowe kaishia wapi? Au alisahau begi la viatu Airport?Hakuna anayemfahamu Mbowe huko Kenya Zaid ya hapo ufipa tu
 
Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.

Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana la vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.

Chanzo: Tanzania Daima

Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
Umetudanganya.
 
mm naona kuna haja ya kuanzishwa chama makini ambacho kitakuwa na watu makini kama akina Ruto ili kutuvusha 2025 kuliko hivi tulivyo navyo sasa hivi.
 
Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.

Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana la vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.

Chanzo: Tanzania Daima

Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
Kumbe huyu ndiye Mbowe aliyetabiriwa na nabii mkuu Erythrocyte
E653855C-EAFF-419C-96A3-6F32F0A9C809.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom