Unamualikaje mtu anayeonea watu wake kwa kuwalimbikizia mitozo ya kufa mtu .tena wasimualike tena hafai hata kidogoOyoooooooo!!!!; Go! Go! Baba la baba
Ndiyo maana yule bibi wa kale ka nchi fulani hajaalikwa.!!!
AminaMungu ibariki CHADEMA [emoji1545]
Hiyo dakika Moja ya kupunga mkono hataipata Sasa mleta mada unasema atatikisika kivipi yaani mzeeHumjui Mbowe wewe .
Mbowe namkubali sana huyu Mwamba !! Mtaa wa saba anakwenda nani? baba mwakitozo ama ?Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.
Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana ka vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
Chanzo: Tanzania Daima
Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
Ngoja tusubirieHii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.
Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana ka vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
Chanzo: Tanzania Daima
Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
Hongera kwa kugusa maisha ya Watu kwa TozoSasa wewe hata akipewa nafasi ya kuongea unazani itaongeza Nini katika chama chake Cha chadema kilichopoteza dira na muelekeo kwa kukosa Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watu? Unazani ndio itafanya CDM kuinuka? Saiz chadema kimebakiwa na watu waliojaa matusi tuu kila baada ya neno ,
Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.
Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana ka vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
Chanzo: Tanzania Daima
Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe, Tunataka Tanzania ijengwe na sisi watanzania, Hatutaki kila kitu tujenge kwa mikopo hata vile vilivyo ndani ya uwezo wetuHongera kwa kugusa maisha ya Watu kwa Tozo
Pole kwa maumivuHuko Kenya wala hawajui Mbowe ni raia wa nchi gani, wala hawajui sura na shughuli zake, acheni ku publicize ur own news kwenye gazeti lake Mbowe alafu mnatuletea pumba humu, no one knows Mbowe at all in Kenya, kama hujaelewa, kaelewe huko
Hata angealikwa kwenye sayari nyingine sawa tu. Twajua neno moja tu kwamba siku alipobadili gia angani ndio siku aliyojimaliza na hatainuka tena.Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.
Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana la vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
Chanzo: Tanzania Daima
Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
Sasa yeye na wewe ambaye kila wakati ni kulamba mavi ya wanasiasa nani ni masikini? Kifo cha mungu wako kimekuvuruga kabisaMasikini Mbowe!
Kila mwaka ni kuhudhuria ushindi wa wenzie tu
Pole sana mkuu, naona kama unalengwa lengwa na machozi, mwenzako Jiwe alisema anataka kukiua mwisho wa siku yuko wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe hata akipewa nafasi ya kuongea unazani itaongeza Nini katika chama chake Cha chadema kilichopoteza dira na muelekeo kwa kukosa Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watu? Unazani ndio itafanya CDM kuinuka? Saiz chadema kimebakiwa na watu waliojaa matusi tuu kila baada ya neno ,