Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,944
- 3,090
Wakati CCM ilikuwa ilikuwa imeshashikwa pabaya kiasi cha kunyimwa msaada wa dola mil 8 kutoka EU kwa kigezo cha CCM kufinya uhuru wa vyama vya upinzani CCM wajiongeza kwa kumualika Mwenyekiti aliyehudumu kwenye chama husika kwa zaidi ya miaka ishirini kujiunga nao meza kuu .
Kikwete akashindwa kuvumilia akajikuta anampongeza Kitila kwa ushindi ule ,lile lilikuwa ni bonge la tobo , pale Chadema wapende wasipende maana yake wamehesabika kama wamehudhuria kikao na aliyewawakilisha ni Mwenyekiti wao mstaafu aliyedumu kwenye chama kwa zaidi ya miaka 20 na alivyomaliza akaongea na waandishi wa habari juu ya kilichompeleka nikufanya fallow up ya maoni waliyokuwa wameyapendekeza kama chama ,(hii inamaanisha kuwa yeye alikwenda kwa niaba ya chama na siyo mtu binafsi) dadadeeki CCM wanahesabu za mbali nihatari .
...dah! Mwamba K kinyaama aisee .
Lengo la CCM pale lilikuwa ni moja tu, nikuionyesha Dunia kuwa Chama tawala na chama kikuu cha upinzani wanashirikiana kwa ukaribu sana .
hitaji la CCM pale lilikuwa ni picture tu ili kuithibitishia Dunia kuwa tupo pamoja hivyo kuyasihi Mataifa fadhiri siyo tu wawape pesa bali waendelee kuitambua CCM kama chama kjnachoiishi Demokrasia kwa vitendo hivyo wasipumbazwe na Hawa wapiga kelele wamitandaoni .
Alichokifanya