Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,754
- 7,536
Sentensi umeianza vizuri na kumaliza vibaya. Siku zote ubaya unashindwa kwa wema ingawaje kwa hali iliyoko bungeni unatamani mabaya yawapate maccm. Anyway, tuwaombee maisha marefu wayaone mafanikio ya upinzani na uangamivu wa udhalimu wao.Juliana ni mchepuko wake ndiyo maana kaamua kuwakomoa wabunge wa chadema cha kufanya ni wabunge wa chadema wamsake mke wa Spika na binti zake wachepuke nao ili apate kujifunza aache Udikteta wake.