usisahau picha
ila mwanza alivyunja record kwa idadi ya watu waliokuwepo
nasubiri ccm wajibu mapigo
Tafadhali Mwenyekiti wetu, usisikilize kelele za huyo vuvuzela nape juu ya vikosi vya ulinzi Red briged. Songa mbele tupo pamonzi
Mkuu molemo big up sana
Hii kanda ni muhimu sana maana wanyamwezi bado wapo usingizi wa pono wanahitaki kutolewa matongotongo
Jamani mzee slaa kawakosea nini molemo mpaka mnamnyima pesa za kuzunguka au ule mpango wa kugombea mbowe ndiyo umeiva?Tumekusikia Kamanda Ndikwega.Tunakuhakikishia kazi iliyotukuka
Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.
Lakini kumbukeni huko Tabora ndiyo nyumbani kwa musa tesha mliyemwagia sumu na yule mama mliyempiga.Tutafanya amsha amsha kubwa sana hapa.Tuna mategemeo makubwa na kanda hii.
Ile biashara yake hakuna tabora amefuata nini?
Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.
Lakini kumbukeni huko Tabora ndiyo nyumbani kwa musa tesha mliyemwagia sumu na yule mama mliyempiga.