Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,256
- 219,479
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Ustaadh Aboubakar Mbowe ni miongoni mwa wakazi wa Dar es Salaam walooshiriki Mazishi ya Baba Mzazi wa Kamanda Abdul Kambaya , aliyefariki leo Dar es Salaam na kuzikwa leo leo Jijini Humo
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina .