Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

kuna wajumbe walikuwa huru kupiga kura na kuna wale waliopiga kura chini ya mtutu wa bunduki
Eeee RBC wee uMRONGO Kama tumba mbichi.

Eti shahada yako ya PROPAGANDA ulisomea mji gani pale ujerumani?!

Mana kuna mkulungwa mmoja aliniambia yule mkufunzi wako mkuu kutoka CDU Prof.Zeitleger alikuwa anakupenda mnoooo😁
 
Ndiyo ni udikteta kama uchaguzi si HURU na wa HAKI.

Nyie ndo huwa mnasema kuchaguliwa kwa 100% ni udikteta sasa leo mnafulahia 99% na bado mnaona alitakiwa kufika 100%?
Yaani akiri zenu ni sawa na tiara inavyorushwa na upepo.
Hamueleweki.
 
Nyie ndo huwa mnasema kuchaguliwa kwa 100% ni udikteta sasa leo mnafulahia 99% na bado mnaona alitakiwa kufika 100%?
Yaani akiri zenu ni sawa na tiara inavyorushwa na upepo.
Hamueleweki.
Umensuuza roho yangu 😂😂😂
Wapemba wasema HALITAKI HATA TOCHI umeyaweka penuuu😍😍👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom