Bilionea wa mitandaoni asiyeweza kujenga makao makuu ya Chadema iwe kwa pesa ya ruzuku au yake ya mfukoni kitukoBilionea Mbowe anafahamika dunia nzima
Mna matatizo ya akili
Odinga kuwa Raisi Kenya unaotaHao ndio marais wajao.
Toka lini wakawa na kumbukumbu Hawa?Hahahha.. Wamebadiri gia angani tena?
Hawa si walikuwa wanamkandia Odinga baada ya kuwa na urafiki na Magu?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Unachanganya mafaili kamanda...mliokuwa mkibagua, mkiteka, mkitesa, mkibambikia kesi, na kuuwa, Watanzania wenzenu, ktk awamu ya 5 , ndio mna matatizo ya akili.
Unachanganya mafaili kamanda.
Mimi na Kibwengo magufuli wapi na wapi?
Walunya ni wengi kuliko wakalenjin..Odinga kuwa Raisi Kenya unaota
Ukabila ulioko kule hapenyi
Rutto atapita bila shida sababu ya kuungwa mkono na makabila mawili makubwa kuliko yote Kenya ya wakalenjini na wakikuyu .Hao kumpa kura jaluo kwao mwiko
Membe amesharudi. Mlikata viuno kufukuzwa kwake na mmekata viuno kurudi kwake.Kuzika sio lazima uje kimwili...hata kiroho tunazika...
Yule mzee alikuwa hatari sana. Kuna kipindi Mobutu alimuhonga uwaziri mkuu lakini bado aliendelea kumsumbua. Kabila mkubwa Laurent alifikia hatua akampeleka kifungo cha kijijini lakini wapi hakukoma.Tshisekedi yule ndio mpinzani sasa,maana Mobutu alikuwa ananunua wapinzani ila mwamba Tshisekedi akakaza