Freeman Mbowe akutana na Raila Amolo Odinga

Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko hiyu sellout.
Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
Kiongozi wa wachagga ndio kiongozi wa CDM?
 
..Raila aliniudhi sana alivyokuwa akim-support yule MUUAJI.

..Natumai Raila ameomba msamaha na kutubu kwa jinsi alivyokengeuka.
 
Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko hiyu sellout.

Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
Ukitaka tufanye uchambuzi CCM ni aibu tupu 50% ya wabunge wa CCM wanajua kusoma na kuandika tuu. Haya mambo ya uongozi naomba tusichunguze sana maana hata mama nae kapita pita tuu ukisema utafute kasoma wapi exactly tutaishia kukamatwa .
 
Hiyo picha natamani wangekuwepo magwiji hawa wawili waliotangulia mbele za haki Maalim Seif Sharif Hamad na Etiene Tshekedi. Wote hao watano ndo wamekuwa stubborn opposition leaders. Kwa sasa namuona Bobi Wine in the making.
 
Haya hayaongezi chochote kwenye hali tuliyonayo sisi.

"Nafasi ya Kenya katika kuendeleza uhuru, haki na maendeleo"? Kweli Tanzania imedidimia kuliko mfano, kama tumefikia kuiona Kenya ndiyo mfano wa sifa wa mambo hayo.

Sasa sijui sababu iliyompeleka huko hadi kukutana na hao watu, lakini sioni maana yoyote kwa CHADEMA kuchukulia Kenya kama 'model' sahihi ya kuigwa hapa. Hili ni moja ya mambo yanayotia shaka na mwelekeo mzima wa chama hiki. Inatia mashaka sana.

Huyu 'jamaa' ndiye alikuwa rafiki mkubwa wa Magufuli, kweli naona Aikael kaamua kusamehe na kusahau yaliyotokea huko nyuma.
 
Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko huyu sellout.

Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
Paka wa Lumumba bado mnadanganyana kuwa Mbowe anaongoza Wachaga. Karibuni Kuja na propaganda mpya. Hiyo imeptwa na wakati....!!
 
Mkuu ondoa shaka kabisa , Odinga hakuwa Rafiki wa Jiwe , ile ilikuwa mikakati ya Kenya ili asiendelee kuua vifaranga vyao , Rafiki yako hawezi kuacha kuhudhuria mazishi yako , Raila hakuja kumzika yule jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…