Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

Sema Mbowe akutana na baba mkwe wake mwanzilishi wa Chadema aliyemkabidhi chama Mbowe aliyeoa binti yake ili awe anaendelea kumpelekea pesa ya ruzuku baba mkwe
Yehodaya, hawa level yao hutaifikia, kushindana nao ni kujilisha upepo na ubatili
 
Mkewe wa ndoa anaitwa Lilian Mbowe sio Irene lakini pia amezaa na aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Chadema,Joyce Mukya watoto wawili ni nyumba yake ndogo uhusiano wao uliwahi kuleta mtafaruku sana kwenye ndoa ya wawili hawa kwa sasa hatujui nn kinaendelea
Huyo Joyce Mukya wote tunamfahamu, alikuwa viti maalum bunge lililopita. Swali hapa ni kuwa, je, kuna mtoto wa Mzee Mtei anaitwa Irene na kaolewa na Mbowe! Hiyo nyumba ndogo uliyoisema tunaijua na ipo pale Arusha!
 
wajuz wa uchumi watafafanua zaidi kuhusu historia ya mzee wetu mtei ila m namini babu mtei alimshauri vizur mzee mchonga
Alimshauri kitu gani ambacho Nyerere alikataa? Na kama ilikuwa ni kushusha thamani ya shilingi ilikuwa ishuke hadi asilimia ngapi na kwa sababu gani, na nini ingekuwa faida ya kushusha hiyo thamani ya shilingi. Ndivyo vitu tunataka utuambie hapa badala ya kusema tu kuwa naamini Mzee Mtei alimshauri vizuri mchonga ambapo yeye mchonga alikataa ushauri. Acheni vitu msivyovijua kuvileta humu! Leta kitu unachojua wewe badala ya kuviokoteza mitaani na kuleta ushabiki na upenzi wa Mtei.
 
Sasa nini kinamzuia kuwa legend na wakati bado yupo hai!
Kuna jamaa alitaka eti somo la historia lifindishwe kwa kiswahili tangu primary hasi university na hiyo historia iwe ya Tanzania tu..

Akili matope.... hii nchi inachezewa saana as if haina wenyewe
 
Back
Top Bottom