RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,617
- 3,936
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?
Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.
Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .