Freeman Mbowe akifutiwa mashtaka itakuwa ni ushindi mkubwa CHADEMA

Kingai bana,cdm hawahitaji kuombewa msamaha na Zito kwakuwa wanaweza kupigania haki zao. Hakuna mwenye tatizo na Samia alichomwambia Lisu, bali sisi tunajua Lisu alichomwambia Hangaya. Kama Hangaya anaona kuna la kuficha kwa alichomwambia Lisu is non of our business.
AMEN
 
Ndio shida ya kutuona mbali akitolewa Mbowe basi sifa zote zitaenda kwa Lissu na ndio utakuwa mtaji mkubwa wa Lissu kisiasa, matokeo ya hapo baadae ni kwa Lissu kumvimbia mwenyekiti wake kwa kudai bila yeye ansingetoka lupango na kuwa yeye ni zaidi ya mwenyekiti wake kwa kuwa amekuwa na uwezo wa kumshurutisha raisi amfuate huko aliko na ni yeye ndie anasikilizwa, ukiona huu mchezo Lissu kawa wa kwanza kuongea juu cha walichoongea na raisi, na wala hakusubiri,jiulize raisi kwanini hajaongelea lolote zaidi ya picha kuwa wamekutana na Lissu,je Lissu ana haraka gani ya kuzungumzia masuala ya faragha kabla hata huyo waliyezungumza nae hajarudi nyumbani, Lissu ana yake na anatafuta umaarufu kupitia kesi ya Mbowe. Mnaoshangilia endeleeni kushangilia lakini hamjui lolote juu ya hizi siasa.
Ndugu,
Yaonekana kama vile ndio umeanza mafunzo ya kupiga ramli chonganishi.
Kwa CHADEMA utaishia kuugua vidonda vya tumbo bure kama Mzee wa Bunda au Belzebuli Ndugai. Labda ungeenda ukajaribu ulaghai wako kwa aina za kina Sirro, Kingai, Boaz ambao kwa sasa wana hofu kubwa na hatima yao.
 
Ndio Afande Sirro,
Pamoja na hayo ninaamini kuwa wewe pamoja na mashetani wenzio (akina Kingai, Boaz, Mahita, Jummanne...) uliyohangaika nao kubumba na kumpotosha rais mnafika mwisho.
Habari za siku nyingi bwashe. Unaendeleaje huko. Nipe Mpya tujuzane.

Msalimie 1. Kishindo 2. Nditolo 3. Matrix 19 na Bujibuji Simba Nyanaume
 
Habarini za mahangaiko wasakatonge wenzangu.

Naamini mnaendelea na mahangaiko ya kuitafuta shilingi kwa udi na uvumba.

Narejea katika kichwa cha thread hii, ombi limetolewa kwa Rais kuwa MBOWE pamoja na wenzake wafutiwe mashitaka lakini kwa kufanya hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kifo cha CCM na mwanzo wa CHADEMA kukua kuliko nyakati nyingine zote.

Kwa mujibu wa maisha kuwa magumu, vitu kupanda bei kila kukicha, umeme kukatika katika, ukosefu wa madawa mahospitalini, ajira kuwa kizungumkuti n.k. Kupitia hayo kama MBOWE atafutiwa mashitaka yake kwanza itaonekana CHADEMA wamekuwa wakionewa na CCM kila mwaka.

Pili, inamaana kuwa mwaka 2025 wabunge wengi wa CCM hawatarudi Dodoma kwa sababu wengi wao watapigwa chini kwa kutomtetea mwananchi wa kipato cha chini dhidi ya kupanda holela kwa bei za bidhaa mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kusinzia kwa wabunge bungeni. Hata kura za Rais naamini zitapungua sana 2025.

CHADEMA shangilieni maana USHINDI WA MWAKA 2025 UMEPATIKANA MWAKA 2022.
Hakuna ushindi hapo kwa mlolongo ule wa ushahidi, hapo ni mvua ya miaka tu bila kupepesa macho!
 
kwa hyo leo mbowe akishinda itakuwa Sababu ni kikao Cha Samia na lisu kule ubeligiji au NI HAKI YAKE ALITAKIWA ASHINDE?
Na vipi MAHAKAMA ikimkuta na hatia mtasema Samia kawasaliti?

Mahakama itamkuta na hatia kwa maagizo ya viongozi wa ccm, ila sio kwa ushahidi ulioletwa mahakamani hadi sasa.
 
Nani kasema hivyo!
Habarini za mahangaiko wasakatonge wenzangu.

Naamini mnaendelea na mahangaiko ya kuitafuta shilingi kwa udi na uvumba.

Narejea katika kichwa cha thread hii, ombi limetolewa kwa Rais kuwa MBOWE pamoja na wenzake wafutiwe mashitaka lakini kwa kufanya hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kifo cha CCM na mwanzo wa CHADEMA kukua kuliko nyakati nyingine zote.

Kwa mujibu wa maisha kuwa magumu, vitu kupanda bei kila kukicha, umeme kukatika katika, ukosefu wa madawa mahospitalini, ajira kuwa kizungumkuti n.k. Kupitia hayo kama MBOWE atafutiwa mashitaka yake kwanza itaonekana CHADEMA wamekuwa wakionewa na CCM kila mwaka.

Pili, inamaana kuwa mwaka 2025 wabunge wengi wa CCM hawatarudi Dodoma kwa sababu wengi wao watapigwa chini kwa kutomtetea mwananchi wa kipato cha chini dhidi ya kupanda holela kwa bei za bidhaa mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kusinzia kwa wabunge bungeni. Hata kura za Rais naamini zitapungua sana 2025.

CHADEMA shangilieni maana USHINDI WA MWAKA 2025 UMEPATIKANA MWAKA 2022.
 
Lakini unasahau kuwa mbowe Bado hajasikilizwa akijitetea unapata wapi nguvu ya kumpa ushindi mbowe?
sisi tunajibu kiushabiki lakini masuala ya mahakama ni magumu sana.
Lolote linaweza kutokea.
Tunaojua mambo ya mahakama tunajua mahakama uwa na maamuzi ya kushangaza sana.
Point ndogo tu inakufunga
Mahakama itamkuta na hatia kwa maagizo ya viongozi wa ccm, ila sio kwa ushahidi ulioletwa mahakamani hadi sasa.
 
Lakini unasahau kuwa mbowe Bado hajasikilizwa akijitetea unapata wapi nguvu ya kumpa ushindi mbowe?
sisi tunajibu kiushabiki lakini masuala ya mahakama ni magumu sana.
Lolote linaweza kutokea.
Tunaojua mambo ya mahakama tunajua mahakama uwa na maamuzi ya kushangaza sana.
Point ndogo tu inakufunga

Mahakama inatoa uamuzi kutokana na ushahidi, hayo maamuzi ya kushangaza ni yale ya kubumba, ambayo mara nyingi ni maagizo toka nje ya mahakama. Tunajua kila hila inayooendelea kwenye hizo Mahakama za CCM.
 
Kwani juzi lisu alivyomuomba Samia afute kesi.
Mlitegemea maamuzi yatatoka wapi?
 
Nashukuru Kama umelijua Hilo.
Sasa sio ugaidi tena.
Ni kula njama za kupanga kufanya mipango ya kutekeleza matendo ya kigaidi .wakumbushe na wengine
Kwa kuwa mbowe mwenyewe yupo ataeleza alipanga vipi hyo mipango.
Mwenyekiti alijichanganya sehemu kidogo sana
Akiweza kupangua urafiki wake na urio,calls,chats .miamala ya fedha na vile vikao viwili ambavyo urio anasema walikaa na mbowe akapewa mipango OVU.
Kesi itakuwa nyepesi kwake
Imebadilika kwa maagizo ya walioitengeneza.
 
Nashukuru Kama umelijua Hilo.
Sasa sio ugaidi tena.
Ni kula njama za kupanga kufanya mipango ya kutekeleza matendo ya kigaidi .wakumbushe na wengine
Kwa kuwa mbowe mwenyewe yupo ataeleza alipanga vipi hyo mipango.
Mwenyekiti alijichanganya sehemu kidogo sana
Akiweza kupangua urafiki wake na urio,calls,chats .miamala ya fedha na vile vikao viwili ambavyo urio anasema walikaa na mbowe akapewa mipango OVU.
Kesi itakuwa nyepesi kwake

Nimecheka kwa nguvu kinoma, eti kupanga njama za ugaidi. Halafu Kingai kumbuka mmesahau na yale madawa ya kulevya naona mmesahau kama pia mlibambikia ma dawa ya kulevya, halafu hata jaji wa mchongo haongelea hayo, inaonekana wote hamkumbuki!
 
ndo maana wana kesi ya kujibu.
Tutulie kila kitu kitawekwa wazi.
Haki ya mtu haipotei japo itachelewa

Back
Top Bottom