Kuna watu nawaheshiimu sana humu JF lakini wanashindA humu JF kuinanga CDm itakufa, eti haitapata hata mbunge mmojaYule bwana ametumia nyenzo zote kuanzia wasiojulikana, DPP, wakurugenzi,msajili,manunuzi, polisi,nk kujenga hofu Kwa ushauri wa yule MTU mrefu anaetawala nchi mkoa lkn amechemka,kila akiwaza jinsi ya kuzima nguvu za umma anaishia kulala tu kwenye jiwe,kaingia gia ya kutumia nccr ambayo inajulikana moshi pekee nayo itabuma kama zibumavo zingine.
Ila alizingua sana kubadili gia anganiHata alivyobadilisha gia angani amesaidia kuionyesha sisiemu kwamba wanaweza kuchomolewa kukiwa na tume huru ya uchaguzi!
Daah! Ukiamini hii ya Mbowe basi amini na za wanaccm! Huyo Jiwe alishasemwa 'kuhonga' mpaka nyumba ya serikali Kwa mwanamke ( Sundi) na anahusishwa pia na Kidoti, je unaamini? Mkwere Vs Vick, je unaamini? Tukiamini hivi vistori vya mitaani hakuna kiongozi tutakaye muheshimu mkuu! Ni kweli kama binadamu Mbowe ana mapungufu yake ila jamaa anahitaji kuheshimiwa! Viongozi wetu ( wa Ccm na Upinzani) wanachafuliwa sana, sisi tusiache kuwaheshimu!Vibaraka wa Mbowe wapo kazini
Utamuheshimu vipi mtu anatafuna mke wa mtu mpaka amezaa nae?
Kwa hiyo kijiti angekimbiza slaa!Ila alizingua sana kubadili gia angani
Huu ni wivu wa kishamba, kumbe ulitaka akuchukue wewe, tatizo ajuza!.Kuwa na mjukuu si hoja anaweza kubambikiwa tu.
Nimeshaulizwa sana na nimeshaambiwa sana kuwa ni Mkwere, tatizo nini?
Mbowe kavunjiwa heshima na nani? Heshima alijivunjia mwenyewe alipo divert safari ya mbunge wake au ni mala... wake? Kutoka New York kwenda Dubai kula nae "bata". Kuna heshima iliyobaki hapo?
Hizo "enzi", enzi zipi hizo?
NdioKwa hiyo kijiti angekimbiza slaa!
Kumbuka alishatupaga karata akaangukia pua!Ndio
Naamini Slaa alikuwa na uwezo mkubwa wa kumpanikisha Magufuli
Watu wanataka ushindi, we unataka kupanikisha!.Ndio
Naamini Slaa alikuwa na uwezo mkubwa wa kumpanikisha Magufuli
Kwa 2015 wananchi walikuwa wameshaichoka. Sema Lowasa alibebwa zaidi na rushwa+ukandaKumbuka alishatupaga karata akaangukia pua!
Sasa uko wapi huo ushindi ?
Hapo kwenye ukanda sina hakika lakini unaposema wananchi walishaichoka sisiemu nakubaliana na wewe nahisi ndo maana Magu baada ya kushinda akaona bora adhibiti hamasa ya wananchi kuichoka sisiemu kibabe kwa kufuta uhamasishaji na harakati za vyama vya upinzani!Kwa 2015 wananchi walikuwa wameshaichoka. Sema Lowasa alibebwa zaidi na rushwa+ukanda
Chadema walijikuta wanatumia njia za kihuni kama ccm kuwalaghai wapiga kura
Bora kukosa ushindi kuliko kufikiria kupanikisha, what for!.Sasa uko wapi huo ushindi ?
Huu ni wivu wa kishamba, kumbe ulitaka akuchukue wewe, tatizo ajuza!.
Kama vipi rudi ujanani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku Jumapili Lowasa alinukuliwa akisemaHapo kwenye ukanda sina hakika lakini unaposema wananchi walishaichoka sisiemu nakubaliana na wewe nahisi ndo maana Magu baada ya kushinda akaona bora adhibiti hamasa ya wananchi kuichoka sisiemu kibabe kwa kufuta uhamasishaji na harakati za vyama vya upinzani!
Hata biblia imekataza uzinifu kijana, unalijuwa hilo? Jikumbushe...Huu ni wivu wa kishamba, kumbe ulitaka akuchukue wewe, tatizo ajuza!.
Kama vipi rudi ujanani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi Kwa mgombea yupi Urais. Kama ni Mbowe alishagombea na akagaragazwa kwa 80% ya kura. Au mlikuwa bado mnatambaa?
Acha kuhamisha.hoja kamanda,hapa tunazungumzia heshima ya sulrani mbowe,hoja.za sundi kafufue makaburi tutaichangia tuDaah! Ukiamini hii ya Mbowe basi amini na za wanaccm! Huyo Jiwe alishasemwa 'kuhonga' mpaka nyumba ya serikali Kwa mwanamke ( Sundi) na anahusishwa pia na Kidoti, je unaamini? Mkwere Vs Vick, je unaamini? Tukiamini hivi vistori vya mitaani hakuna kiongozi tutakaye muheshimu mkuu! Ni kweli kama binadamu Mbowe ana mapungufu yake ila jamaa anahitaji kuheshimiwa! Viongozi wetu ( wa Ccm na Upinzani) wanachafuliwa sana, sisi tusiache kuwaheshimu!
Sent using Jamii Forums mobile app