Binafsi Mbowe namheshimu....ila ana watu ndani ya Chadema wenye siasa Kali na za ubabe na hata za kigaid.Hao ndio wanamuangusha Mbowe...yeye Kama yeye sioni Kama ana tatizo..Kimsingi binafsi namheshimu na kumkubali sana huyu mdau kwa mengi, upole, busara, hekima na uwezo wa uongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakazi kubwa Sana kuwapika vijana wake (makamanda ushuzi)Nimekaa na kutafakari sana. Nimemtafakari bwana Freeman Mbowe. Binadamu huyu anatakiwa apewe heshima kubwa sana.
Yeye siyo adui wa nchi hii, la hasha! Mbowe ametoka kwenye jamii iliyostaaribika sana. Alichofanya tangu enzi zile mpaka Leo ni kuwafanya watanzania wawaze nje ya box. Kwamba lazima pawepo na siasa za ushindani ili kuleta maendeleo.
Ushindani ni ukuaji. Amefanya makubwa kuliko wale tunaowaheshimu kwa kuwa wako madarakani.
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Freeman Mbowe aheshimiwe
Kichwa kibovu kama hiki vimebaki vichache sana mjini, itabidi zifanyike juhudi za makusudi utafutwe popote ulipo tukuweke "karantini" makumbusho ya taifa.Kweli ni lazima aheshimiwe kwanza ni mwenyekiti wa maisha hilo si jambo dogo, hata serikali ya awamu ya 5 ilifanya makosa kumtupia vitu vyake nje yeye hastahili kulipa kodi yeye ni mkwepa kodi wa maisha. Hata hayo matumizi mabaya ya fedha za chama ni kosahata kumtaja kwani yeye ni mtumiaji wa pesa za chama wa maisha.
Ni kweli lazima tumueshimu sana Mbowe kwani alibadilisha Gia box angani kama futi 300 kutoka usawa wa bahari bila kuangalia usalama wa watu na chombo chenyewe wakati giabox inabadiliswa ndege ikiwa chini.
Anaitaji kuheshimiwa sana kwani ameleta kitu ambacho hakijawa kuonekana tangia 9 Desemba 1961 hadi alipofika yeye tabia ya kuwafundisha wabunge wake kususa na hata kususia chaguzi na inasemekana uchaguzi wa 2020 amesha andaa utaratibu huo wa kususia uchaguzi hili kuingia barabarani tujiandae.
Ata uteuzi wa viti maarumu pia amekuwa anaitaji heshima kwani ametimiza amli ya Mungu kwenda kuijaza dunia.
Na kuwageuza vijana wa ufipa mizuka isio jitambua si kazi rahisiAnakazi kubwa Sana kuwapika vijana wake (makamanda ushuzi)
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Chukua kura million 6.8 x 5000 kura za mgombea urais pekee(ruzuku)...harafu utajiuliza hata garizao walisambaza halmashauri zote nchini zimetokanaje unaza magufuli kuzuia mikutano ya hadhara mchezo ,tayari chadema walikua na uwezo kufika hadi ngazi ya shina anakojivunia ccm kupata kura wazee kabisa .....magufuli anavosema anatamani kukimbia ikulu sio maskhara na ikosiku ATASEMA.....Hata alivyobadilisha gia angani amesaidia kuionyesha sisiemu kwamba wanaweza kuchomolewa kukiwa na tume huru ya uchaguzi!
Nikuulize mara moja hii, kwa sababu mstari wako una maana kubwa ambyo pengine hukuiweka maanani.Sidhani kama kuna binadamu mstaarabu asiyeheshimu mwenzake, ila ukiondoa kuheshimiana tunaruhusiwa kutofautiana kimtazamo.