Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,366
Si kweli , fukua ule uzi ujionee mwenyeweUzi wako ilikuwa kabla hajaenda (Mbowe kurejea), huu uzi ni baada ya kwenda na yaliyotokea; huoni kuna utofauti hapo?

Tutaomba JF ifungue uzi maalum wa wanaccm kunitukana , maana sasa kila mtu anatukana kivyake , hamueleweki , tukaneni wote kwa pamoja kwenye Erythrocyte special thread , mods fungueni uzi ili wanaccm wapate kunitukana humo weeee hadi waridhikeKama unavyopuuzwa wewe kimbisi Cha mbowe
Hii hadithi yake ina fanana na alfu lela ulela.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
unaandikia mate ya nini subiri 2025 ndo utajua mbowe no nano haiMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Kana kwamba hao wapinzani hawalipi kodi, ni adui zetu, walijiamulia kujichagua. Ilikuwa ni aibu ya mwaka kiongozi kutoa statement kama hiyo hadharani.Mkiwachagua wapinzani hamtapata maendeleo kamwe... Alisikika mzee mmoja akiambia wananchi😊😊😊😊
Acha kujipa umhimu ambao hunaTutaomba JF ifungue uzi maalum wa wanaccm kunitukana , maana sasa kila mtu anatukana kivyake , hamueleweki , tukaneni wote kwa pamoja kwenye Erythrocyte special thread , mods fungueni uzi ili wanaccm wapate kunitukana humo weeee hadi waridhike
Kumbe kujaza watu kwenye mikutano ni mojawapo ya vipaumbele muhimu kwa maendeleo ya Taifa?Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Yaani ni bora nifuge mbwa koko kuliko kusalimiana na Binadamu mpumbavu na juha kama wewe.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.