Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,291
- 219,530
Taarifa iliyosambazwa na Chadema kwenda kwa watu wote Duniani imeeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho , Mwamba Mwenyewe, Laingwanan, Mfungwa wa kisiasa ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Pemba, anaanza rasmi ziara ya kikazi nchini Uingereza , ambako anatarajiwa kupokelewa na Viongozi Wakuu wa Kimataifa.
Zaidi Taarifa yao hii hapa.
Zaidi Taarifa yao hii hapa.