Freeman Mbowe aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uingereza

Freeman Mbowe aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uingereza

Ataavha kuzurura, anazilamba tu pesa zq ruzuku ya chadema. Cheza na mchaga?

Atembelee bandari mbili za Uingereza zinazoendeshwa na DP World halafu atuletee umbea.




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hicho cheo kilitakiwa kuwa Cha Tundu Lissu , Mbowe akampora
Hivi huwa unajisikiaje mliyekua mkipanga naye mauwaji ya Lissu kufa kikatili vile sahv yuko chato kalala yoo huku Lissu akitamba?

Nakuoneaga huruma sana wewe na Tumainiel!
 
Boris ni waziri mkuu wa wingereza tangu lini????
Nilikuaga nakuona una akili kwa zile nyuzi zako leo nimekuona kumbe muuzaji tu kama wale wa ohio enzi hizo.

Barua imeeleza wazi waziri mkuu mstaafu wapi pameandikwa waziri?
 
Hatuwezi labda utusaidie wewe kwani waliuwa na wanauwa watu kuifanya Zanzibar koloni
Mpo miserable sana... mwambieni HANGAYA aanzishe juhudi za kuwapa Zanzibar yenu na siyo kuwarudisha wajomba zake wa Oman....
 
Mpo miserable sana... mwambieni HANGAYA aanzishe juhudi za kuwapa Zanzibar yenu na siyo kuwarudisha wajomba zake wa Oman....
Mwache awarudishe wajomba kwani waliweka maisha ya watu kuwa mazuri
 
Taarifa iliyosambazwa na Chadema kwenda kwa watu wote Duniani imeeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho , Mwamba Mwenyewe, Laingwanan, Mfungwa wa kisiasa ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Pemba, anaanza rasmi ziara ya kikazi nchini Uingereza , ambako anatarajiwa kupokelewa na Viongozi Wakuu wa Kimataifa.

Zaidi Taarifa yao hii hapa.

View attachment 2661813View attachment 2661814
Mh, narudisha pass... Kwako kulwa jilala and co.🤣🤣🤣🤣
 
Mh, narudisha pass... Kwako kulwa jilala and co.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka sasa vijana wa ccm hawaelewi mambo yalivyo , wanaona nyota tu , hawaelewi waunge mkono Mauzo ya bandari au wapinge
 
Back
Top Bottom