Angekuwa anapigania dhamana saa hizi.au ungeskia mh Fulani kaa chini.Ukizungumza hivyo Bongo kesho yake haupo salama.
Huyo ndio baba lao. Kuna chief whip Floyd shibambu, Ndlozi na Hlengiwe Hlope pia kuna wazungu wawili wa D.A mmoja wanamuita sijui stenienizen hatari sana hawa watu.Malema mmoja wa EFF ni sawa na wa ANC 70.
Yes! Hata ANC siku hizi wanaiita "African National Criminal"Yaah! Unawapata vyema, wanamita Zuma Criminal...
Hivi SA wanashangaa USA kumchagua Trump ? Maana nao na zile story za Zuma bado wakachagua tena. Naona Kama USA wako sahihi zaidi yao