Kuna kitu nilikosea nishaedit vizuriAmefuta maelezo, JF mtu hawezi kudelete post kwahiyo jamaa kaona aedit tu kwa kufuta maelezom...
Kuna kitu nilikosea nishaeditKwa hiyo kichwa cha habari umeweka ili habari tutafute wenyewe au cio.
Huyo aliyekuuzia alitakiwa akupe maelezo ya kutosha kuhusu upatikanaji wa hizo channelNatumia kingamuzi cha free (dvb t2) to air cha antenna, naomba maujanja au frequency za kupata channel nzuri.
Huyo aliyekuuzia alitakiwa akupe maelezo ya kutosha kuhusu upatikanaji wa hizo channel
Kinaitwaje mkuu na msaada nini na nini kinatakiwa ili nipate hizo za bure mkuu.Nilinunua china, napata channel za ndani zote.
Kinaitwaje mkuu na msaada nini na nini kinatakiwa ili nipate hizo za bure mkuu.
Wakuu hii kitu vipi kwa hapa Bongo inaweza fanya hayo ya juu hapo🤔Hiki hapa pichani,
Unatumia tu antenna ya kawaida ile, hakuna malipo ya mwisho wa mwezi,
Kinasupport hadi Wi-Fi ukichomeka Wi-Fi receiver kwa ajili ya YouTube na iptv, kina rekodi pia na radio zinashika.
Kuna kimoja kimebaki unaeza nicheki tuongee. View attachment 1190986
Dvb T2, Ni terrestrial Kama ving'amuzi vya ndani vinavyokuja na tv, vinashika baadhi ya TV za startimes/continental Ila sio zote.
Dvb T2, Ni terrestrial Kama ving'amuzi vya ndani vinavyokuja na tv, vinashika baadhi ya TV za startimes/continental Ila sio zote.
Ndio inawezekana mkuu, sema location pia muhimu sababu Ni antenna.Local za ndani zote naziona hadi uhai na dizzim pia.
Ndio inawezekana mkuu, sema location pia muhimu sababu Ni antenna.
Bei gani unakiuzaHiki hapa pichani,
Unatumia tu antenna ya kawaida ile, hakuna malipo ya mwisho wa mwezi,
Kinasupport hadi Wi-Fi ukichomeka Wi-Fi receiver kwa ajili ya YouTube na iptv, kina rekodi pia na radio zinashika.
Kuna kimoja kimebaki unaeza nicheki tuongee. View attachment 1190986
130kBei gani unakiuza
Ndio inawezekana mkuu, sema location pia muhimu sababu Ni antenna.
...Nipo Mikoani tena nje ya mji kabisa mkuu,
Mbc 2 pia naiona japo inakata kata labda nijaribu Kuhamishia antenna nje itakua freshi.
...
jifunze kujibu swali. Mikoani ndo wapi?
Ikiwezekana ongeza na freq. kwa kubofya info kwa rimoti yako ...
...
Mkuu Nicheki tufanye biashara 0758281185Dvb T2, Ni terrestrial Kama ving'amuzi vya ndani vinavyokuja na tv, vinashika baadhi ya TV za startimes/continental Ila sio zote.
Anaeuza Ni NimejoinMkuu Nicheki tufanye biashara 0758281185