Nyanimweupe
Member
- Feb 25, 2013
- 26
- 1
Wapendwa tafadhali ninaombi moja tu la kupata FREQUENCY AND SYMBOLATE za chanels za Tanzania na nje Maana nimefunga LNB2 NA KU2 bt sina hizo frequency Tafadhali naomba ... Pia kma unazo za Zambia ZNBC1§2
kama unataka frq zote za chanels ulimwengu mzima ingia hapa,www.lyingsat pas7/10.utapata kila kitu za c-band na ku-band