Free talk: Mwanamke shtuka!

Hahaha...

Aisee, watu kumbe wanalambishwa mchanga [emoji3][emoji3].

Hicho kimbunga kibaya sana.
 
Hahaha...

Aisee, watu kumbe wanalambishwa mchanga [emoji3][emoji3].

Hicho kimbunga kibaya sana.

Ndiyo maana mimi nikiona vijana wanafanya hivyo huwa nasemaga Hiiiiiiiiiiii ya Kihutu.
Unakuta huyo kijana hata ka-laki moja hajawahi kutuma kwa mama yake kule kijijini amekazana tu na vibinti mjini.
 
Kweli,, Kama umeamua kumsaidia msaidie tu,, kwa maana ukitegemea vinginevyo unaweza laani kabisa uzao wote..
 

Aisee, shemeji naona unakazia kabisa.
 
unafaa
 
Maza hauzi nimejaa mjengoni, sio maza hauzi kembambaaa ukivaa dera unaonekana kama ustaadhi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee watu wana maneno jamani, kwenye gari unakuwa kama umepewa lift.
 
Tunaishi kulingana na uhalisia, wapo wanaume wanaohangaika sana na juhudi zao unaziona kabisa ila hawajafanikiwa kihiivyo. Hivyo mkiunganisha nguvu angalau mnafikia pazuri.
 
Sasa hii itakuwa biashara kichaa...

Si Bora nikupe mtaji wa kuuza udongo kuliko mambo ya 3million skuli fizi afu unaniletea Fa Fa Fa Fa Fa tena..[emoji41]
Hahahaaa!!! Ndio ushaanza masimango jamani!!
 
Hahaaa!!
 
Poleni sana mkuu.

Dogo afanye mpango wa demu mwingine tuu maisha yaendelee ..hawa watu ndio shukrani zao hizi.



Cc Heaven Sent & espy
Hahahaaaa!! Wenye akili huwa wanaunusa utajiri miles away, yaani hauna hata godoro ila anauona utajiri wako ujao. Atakuganda unashangaa "why ananipenda hivi". Hivyo hao wachache wasiwakatishe tamaa jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…