Free talk: Mwanamke shtuka!

Ahahahaaaaaa embu niache mie, mbona kama unataka niharibia kwa my new darling bebe [emoji19][emoji19]
Umekuja kuwaje lakini au hutaki kajomba kako kapate msaada?
Mfyuuuuu usirudie tena kutoa siri za familia
Mimi nakuzoom tu
 
OK,ok hivi bado unatumia ugoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…