50/50 ina mipaka mama.. Na mipaka yake ni urudi nyumbani mapema kuhakikisha watoto wameshinda salama pamoja na kufanya homeworks, dinner na kila kitu kiko sawa..FisadiKuu huwa anasema madili ya pesa yanapatikana bar, sijui yuko wapi!!
Na sie tukae bar tupate hayo madili kwakweli.
Cc Heaven Sent
Okay okay...Leo nakuja Posta Mpya kukusabahi, jiandaeNitafanya hivyo kwa msaada wa Mungu shem babe Wangu,.
@bbade uisome hii50/50 ina mipaka mama.. Na mipaka yake ni urudi nyumbani mapema kuhakikisha watoto wameshinda salama pamoja na kufanya homeworks, dinner na kila kitu kiko sawa..
NB: Bar madili ni kwa wanaume tu..
Kwani mke akinunua kiwanja na mwisho wa siku mkaungana kujenga nyumba kuna tatizo??Mwanamke ununue kiwanja ni mwanaume gani huyo ambaye hana akili sawa sawa atajenga hapo......labda kununua fenicha za ndani na vikolokolo......nyumba hujengwa na mwanaume ili mkewe aje kuingia na kuisimamia hatimaye kuimiliki....
Nimeisoma SHAMMA , nachoweza kusema hii kitu inawezekana kwa wengine, kwa wale wasioweza waendelee na misingi waliojiwekea....@bbade uisome hii
Pole sana best!Nimekumis pia dia,
Ndio hivyo yametokea muulize espy atakwambia vizuri maana yeye ndiye alinipeleka sehemu walipokuwa wanakula raha zao
Kaka ako yupi? wee naaee ina maana hujui nimekamatia fursa tangu zamaniPole sana best!
Naomba nikuunganishie kwa kaka yangu, au wajanja wa humu washakuwahi?
Baby shem hujasika maneno ya Diamond yanayosema 'ukiachika acha'?Kaka ako yupi? wee naaee
Aliyesema nimeachika nani, yaani kukaa kwangu kimya ndio mkaona jose kashapigwa cha mbavu na Ney? mbona watanzania mna nongwa hivi?Baby shem hujasika maneno ya Diamond yanayosema 'ukiachika acha'?
Basi yaishe shemela, tusije tukashindwa kusalimiana mtaani kisa Ney.....Aliyesema nimeachika nani, yaani kukaa kwangu kimya ndio mkaona jose kashapigwa cha mbavu na Ney? mbona watanzania mna nongwa hivi?
Kwa kweli mpangie mwingine, kwanza huyo kaka ako ni domo zege nini hadi umuunganishieBasi yaishe shemela, tusije tukashindwa kusalimiana mtaani kisa Ney.....
Kaka yangu nitamtafutia mwingine.
Kaka yangu sio domo zege....yuko busy sana hana muda wa kujitafutiaKwa kweli mpangie mwingine, kwanza huyo kaka ako ni domo zege nini hadi umuunganishie
Mke wa mtu huyo oooh! Shauri yakoOkay okay...Leo nakuja Posta Mpya kukusabahi, jiandae
Mwambie atafute kwa jasho lake sio apate kitonga ganda la ndizi ateleze..nimetoa jasho kumpata Neybright aisee samahan sanaKaka yangu sio domo zege....yuko busy sana hana muda wa kujitafutia
Ndio maana nikamuita shem...najua mipaka baby shem usijaliMke wa mtu huyo oooh! Shauri yako
Hapo sawa, maana nilikuwa najiandaa kukuonya usije ukamuumiza best yangu NeyNdio maana nikamuita shem...najua mipaka baby shem usijali
Tunapendana A-Z..upo?Kutoa jasho siyo issue, issue ni anakupenda?