Free talk: Mwanamke shtuka!

Hahahaaaa!! Hapana iishie hukohuko jamani. Pensheni tutakula wapi sasa[emoji85] [emoji85]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kuwa watoto tulelewe na waume zetu. Kujitia mabosslady tutakutana na prenuptial kwenye ndoa zetu miaka michache ijayo
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kuwa watoto tulelewe na waume zetu. Kujitia mabosslady tutakutana na prenuptial kwenye ndoa zetu miaka michache ijayo
Halafu hii kitu prenuptial ilikuwepo kiaina enzi zile unakuta mjane ananyanganywa Mali za mumewe na ndugu za Mume....kisa hawakuzichuma wote....hii kitu ipo sema ndio haikuwa kisheria zaidi
 
Wanaume watafurahi sana maana wao ndio wanatusaidia sasa hivi kuimba wimbo wa 50/50.
Watafurahi vipi? Maana hiyo 50/50 itaenda mbali nje ya Financial issues wasipokuwa makini. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu hii kitu prenuptial ilikuwepo kiaina enzi zile unakuta mjane ananyanganywa Mali za mumewe na ndugu za Mume....kisa hawakuzichuma wote....hii kitu ipo sema ndio haikuwa kisheria zaidi
Alafu umeona mbali ujue, una akili sana. Ni vile tu haikuwa ktk maandishi ila inatekelezwa kivingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…