Kuna web flani niliwahi itumia tena ile ilikuwa waweka hata namba unayemtumia akipokea ujumbe ajue umetoka namba flani yani ulikuwa waweza weka namba yoyote.
Web yenyewe nshaisahau ila nkiipata nitawawekea ulikuwa una uwezo wa kumpakazia mtu mfano nikakutumia sms ukadhani imetoka kwa mtu flani kumbe hapana
Popomtata hebu nijuze mkuu inakuaje hii kitu
Huwa napenda kufanya jaribio kwanza ndipo nigawe trick sasa mkuu nipe namba yako ya simu pamoja na country code ya nchi uliyopo then nitakutumia sms ya test na feedback yako ni muhimu ili kuwaamsha na wengine. Ok tupia no. twende kwa vitendo
Mkubwa umenikumbusha App flan ilikuwa inaitwa Fishtext enzi hizo natumia symbian mobile.sijui kama kwa android lipo hii App Ilikuwa ukidawnload hilo file ukajisajili unapewa EURO 30. Ambazo utatuma sms kwa yeyote yule hadi zikiisha ndio uweke vocha ktk mfumo huo wa euro na kila sms ilikuwa ni euro 0.2, na lilikuwa lina machaguo mawili utume kwa namba ya hiyo App au utume kwa namba uliyo sajilia.
Nilidhani unazungumzia hiyo App lkn lakini nadhani sio hiyo.
Siyo hiyo mkuu yenyewe ni no pay & everything is free