free mind!

Fanya activities yoyote unayoipenda mfano music, games, movies, going out in a quite place.

Mimi huwa, ninajifungia room, nazima simu then naweka headphone, nafungulia mziki ninaoupenda (mfano Rock and Metal), huku nikicheza kwa furaha, kama kuna ufagio nitaufanya guitar, huku nashake kichwa, sometime nina pretend ndio drummer au lead singer kwenye show fulani, lol...i love Music. {sounds crazy}
it works.
#ROCK AND ROLL

Sometime ninafanya MEDITATION, kama wewe ni mpole, and hupendi fujo faja MEDITATION, ni nzuri kuliko kunywa pombe.
Hapo kwenye Red nadhani utakuwa unakishindilia hicho kitu kichwani sio kukitoa.....
umeshawahi kuweka headphones kwa masikio na kuweka music lakini ukawa huusikilizi huo mziki??
 
unaaccept kilichotokea, unachukulia poa.... Unaendelea na shughuli nyingine za kila siku
 
Hapo kwenye Red nadhani utakuwa unakishindilia hicho kitu kichwani sio kukitoa.....
umeshawahi kuweka headphones kwa masikio na kuweka music lakini ukawa huusikilizi huo mziki??

Nop. Sijawahi kamwe... Always iPod ndio mwokozi wangu kwenye kusahau kitu. Music makes me feel good mpaka nasahau matatizo.

Kama wewe unashindwa, try MEDITATION, IT'S THE WORLD'S BEST WAY TO FEEL GOOD AND REFRESH YOUR MIND.
 
kwi kwi kwi ! kweli sifi na cha moto nakionaje mama!

Pole.....ila kama ni limtu limekukera lipotezee bana.....hapo unahangaika mwenzio huko aliko raho kwatu.....tena na lunch ya nguvu keshapata lol!.....Maisha yenyewe ya kujitesa yako wapi dia?
 
kwanza kubari kimeshatokea huwezi kukirekebisha kikubwa panga mwanzo mwingine wa kuondoka sehemu hiyo au kufikiria mengine. pia jitahidi kuepukana na chanzo cha hilo jambo au visababishi vya hilo jambo
 
Kwanza lazima ukikubali kwamba kimetokea kwenye maisha yako,then kichukilie kama tatizo la kawaida na linaweza kumtokea mtu yeyote,and jiamini kwamba bado unanafasi ya kufanya viziri katika maisha yako.
Ukiwa na mtazamo huu,hatachukua mda kukisahau.
i wish nichukulie hivo nashindwa kabisa
 
Ngumu sana, kukitoa kitu kichwani ukipendacho, labda ukubali matokeo ndiyo pale ambapo utajikuta uko fresh...
jaribu kuzuia addiction ktk vitu ambavyo si rahisi kuwa navyo siku zote............kwa mfano kupenda kupita kiasi.
 
Fanya activities yoyote unayoipenda mfano music, games, movies, going out in a quite place.

Mimi huwa, ninajifungia room, nazima simu then naweka headphone, nafungulia mziki ninaoupenda (mfano Rock and Metal), huku nikicheza kwa furaha, kama kuna ufagio nitaufanya guitar, huku nashake kichwa, sometime nina pretend ndio drummer au lead singer kwenye show fulani, lol...i love Music. {sounds crazy}
it works.
#ROCK AND ROLL

Sometime ninafanya MEDITATION, kama wewe ni mpole, and hupendi fujo faja MEDITATION, ni nzuri kuliko kunywa pombe.

Nimeipenda hii aisee, ila hakikisha hakuoni mtu manake wanaweza kudhani umeshachizika
 
acheni jamani ...hata sielewi tena..nimestack kabisa
 
Back
Top Bottom