Hi wana jf, kwa walioomba kazi mwananchi communication post hiyo apo juu wameanza kuita watu kwenye intrv alhamisi ya trh 4 April, kwa wale wadau hivi huwa wanauliza maswali gan? kwa ambaye alishafanya intrv yao naomba kujuzwa. Na vp kuhusu mshahara kwa hiyo position ya free lance sales executive huwa inaanzia shiling ngapi? natanguliza shukrani.