Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
- Thread starter
- #201
Dah..ngoja nikomae!
Ukikwama njoo hata PM vinginevyo kwenye thread unaweza usipate mssada we sema umekwama wapi
Dah..ngoja nikomae!
inatumika kwa jamii forum peke yake au naweza kutumia ku browse kweye mitandao mingine.
Wale ambao nimewapa usernem na Password mbona sion fiedback mmekwama wapi?
Mtu ukikwama nipigie namba yangu ya simu hapa chini ntaweka na Tigo sio mda
Mkuu umekwama wapi tusaidiane.Mkuu mimi nilikwama nika ku-pm ukaniambia kama sijui hii kitu bye bye, basi ikanibidi niendelee tu kutumia bundle za kawaida.
wajanja washaanza kuomba usernem we unashangaa tu
Yaani hayo ni mahitaji inabidi uwe nayo
i.e lazima uwe na USB Dongle
wape hiyo site unayocreate wewe username kwa server config zako hapo juu.. bookvpn na binding port wapi na wapi Njunwa
MNAPOTEZA MDA WENU VIJANA
Mkuu mimi nilikwama nika ku-pm ukaniambia kama sijui hii kitu bye bye, basi ikanibidi niendelee tu kutumia bundle za kawaida.
kila kitu kimekubali lakini mkuu njunwa wamavoko haujatutendea haki hapo katika kupata username na password za kwetu wenyewe ambazo zitatusaidia mbeleni,kikubwa tunaomba elimu ya kujitengenezea username na password sisi wenyewe kwa sababu kuna baadhi ya watu wanalalamika kwamba mwanzoni walikuwa wana surf vizuri lakini baadae ikaanza kuleta mushkeri/ikagoma...................tunaomba msaada wako mkuu
Wa simu mnatusaidiaje wakuu
Nimeisoma Icon ya open VPN ikiwa green basi ujue nimekusoma kitu iko connectedspeed yangu kwa sasa hii hapa
View attachment 114098
Aisee we jombaa @njunwa wamavoko nimwendawasimu aisee yaani mzigo uko poa hadi naogopa mungu wangu, kikubwa nilichopenda ni speed yaani kuna speed ya laana jombaa.