Lol!sasa ntakupa je mm ninapo create usernem na passwd maana mm nimehack VPN provider fulani na naweza ku-create usernem ikawa recognized kwenye Database zao
VPNBook,Kebrum VPN na Peoples VPN ndo ninazo tumia sasa na ingia online soma kwenye Blog za wahindi utakuta wana-HACK AIRTEL India kwa kutumia Configs kutoka Kebrum VPN
Msomi handanganywi tumia Google acha kutamka maneno na kudiscourage wengine umeshindwa walipe wahindi wakutengenezee
sijasema kam hazifanyi kazi.. unajua kam kuna watu hata kufungua e-mail hawajui then unampelekea aconfigure kebrum vpn ambayo ina limitation kibao kwa free user,, tabu yote ya nini si mpm mkuu paje ule unlimited ya ukweli kwa elfu 8 tu kwa mwez.