NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 590
kuna thread kadhaa humu zinazungumzia hizo keys za IDM...jaribu ku search utazipata..
chukua hii http://kat.ph/internet-download-manager-v6-11-8-1-idm-crack-key-h33t-iahq76-t6530322.htmlmkuu ule uzi nimeucheki kwa makini but keys zilikua fake, so mwenye keys anisaidie.
mkuu ule uzi nimeucheki kwa makini but keys zilikua fake, so mwenye keys anisaidie.
Naomba Crack kwani hii imegoma....
Natanguliza shukrani.
123-321Kuna hii ambayo ina sifa kama IDM yenyewe ni bure aliwahi kutoa Chief Mkwawa cku moja
http://download.tensons.com/download/DAMsetup.exe
BONA NILISHAWEKA POST KABLA YA HII KITU SEMA VIJANA MMEKOSA MAARIFA KILA CK MNAIBUKA NA POST MPYA WAKATI MNACHOTAFUTA KIMO HUMU HUMU JF KITAMBO ANYWAY CHUKUA HII HAPA
*UKISHADOWNLOAD DISABLE ANTI VIRUS AFU UEXTRACT RAR FILE NA KUINSTALL KULINGANA NA MAELEKEZO UTA KAYOPEWA UKISHAMALIZA ENABLE AN-T MCHEZO KWISHA
View attachment 57754View attachment 57755View attachment 57756View attachment 57757
Wakuu mwenye keys za idm, msaada tafadhali.
Kabla ya kutumia patch yoyote kwanza unatakiwa u close program husika pia uexit pale kwenye task bar yaani program yako isirun kwa namna yoyote then Uswitch off anti virus yako ndiyo uanze kuchakachua hiyo kitu but usi double click bali urun as admistrator so kama ni winxp yabidi uingize adm password yako mchezo utakwenda vyema mkuu.Dah!mkuu mi nahisi kukata tamaa kabisa na hii kitu coz kwangu hiyo patch imefeli kabisa,baada ya kudouble click "patch"inaandika patching failed".So msaada zaidi mkuu au unanishauri nn coz karibu idm cracked zote za humu JF nimezijaribu but nimetoka kappa.Natanguliza shukran!
kabla ya kutumia patch yoyote kwanza unatakiwa u close program husika pia uexit pale kwenye task bar yaani program yako isirun kwa namna yoyote then uswitch off anti virus yako ndiyo uanze kuchakachua hiyo kitu but usi double click bali urun as admistrator so kama ni winxp yabidi uingize adm password yako mchezo utakwenda vyema mkuu.
Kiongozi kamata hizi keys, SV8SX-FAFRT-0HZGT-6UG7S kwenye username weka jina lolote,password yoyote email yoyote na hata kama huna twende kazi weka hata ya kutunga,point to note wakati wa kuweka keys uwe offline na kila utakapokuwa inatoka version mpya kama utadownload weka keys hizo hizo
Enjoy