Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Tuachane na wivu wa kijinga, tutafute pesa, ushauri wangu wa bure huo
 
Weka nyaraka za umiliki wa hizo mali... acha porojo
 
ULIZIA UTAJIRI WA RIZ1...

UKIAMBIWA UTAJIRI WA RIZ1 hakuna Tz hii wa kumfikia...!! ni hatariiii...!!!

Ana miliki makampuni hatari tupu...!!!


Lowassa tayari Rais... bado kuapishwa tu...!! period..!!
 
Asante...hatuhitajikusikia haya sasa...Mabadiliko ndo habari ya mjini!
 
Hv wewe mwanaume gani? Unakuj kuongelea utajiri wa mtoto wa lowassa? Mbona huongelei utajiri wa mtoto wa kikwete?? Double standards Na chuki nyingi.
 

Kaloge na wewe
 
Wow, this post i quite invasive and surely sio post ya kubeza

Tutajie na wa Ridhwani sasa
 
Tajiri wa fikra hawezi kuongelea watu,hana wivu, nawala halalamiki tajiri wa fikra hufikiri namna ya kutoka alipo.
 
Weka nyaraka za umiliki wa hizo mali... acha porojo

Tafta mali zako na wewe au endelea kutumika apa kuchafua watu ukshtuka wenzako wamekuacha mali za lowasa family wamezpata cz there serious hawana mda wa kushnda huku jf kuchafua watu...Fred Lowassa ni smart guy sana na ni moja ya watoto wa viongozi asiye na makuu anaishi simple life mkarmu na mtoaji mzuri kwa wahitaji kwa kfup familia ya lowasa haina makuu
 
nchi za kiafrika tajiri hastahili kuongoza nchi .
nchi inastahili iongozwe na mtu maskini kama magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…