Freddy alivyopokelewa nyumbani

Lakini kwa nini kipanya huwa hakamatwi kwa jinsi anavyomchora mzee wetu na kichwa kikubwa kiasi hicho
 
Kwani money laundering na upelelezi kutokukamilika haimuhusu huyu kipanya
 
Hawa wanaendelea na michezo yao ya siasa huku wanatafuna kodi zetu (ajabu tunaotafuniwa kodi tunashangilia).., no wonder siasa ishakuwa ndio ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…