Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
Wanaodaiwa kuwa Wapenzi, Mwanamitindo na Mwingizaji, Hamisa Mobetto na Mfanyabiashara Fred "Vunja Bei" wanadaiwa kumwagana.

Ikumbukwe kuwa Mobetto na Vunjabei hawajawahi kutangaza wazi wazi kuwa wapenzi zaidi ya kupostiana kwenye mitandao wakiitana shemeji na pia kuonekana sehemu kadhaa za starehe wakiwa pamoja.

Wataalamu wa umbea wamebaini kuwa Fred amemu-unfollow Mobetto ikiwa ni siku chache baada ya kumpost mtoto wa Mobetto na Majizzo aitwaye Fantasy akisema anampenda sana. Unfollowing hii imegundulika baada ya Fred kupost kwenye akaunti yake ya instagram kuwa "Kosa la kucheat huwa halina dhamana, adhabu yake ni kuachika milele". Ujumbe huu umetafsiriwa kuwa umemlenga Mobetto watu wakienda mbali kuwa atakuwa amecheat.




IMG_1987.jpg
 
Sasa huyu Fred Jaman kwa akili zake timamu alijua kabisa hamisa ni wake peke yake mxieew, yeye mwenyew ni community husband , akae kwa kutulia, Kwan hajui hamisa ni mjasiriamali she goes where the money is, Hamisa ni pesa tu ndo anapenda View attachment 1754457
Nadhani Wanawake Hawajui Ni Nini Wanataka, Fikria Uwe Tajiri Watakusaliti Uwe Hauna Kipato Pia Utasalitiwa.. Kijana Wawatu Kutoka Ukingani Fredy Ngajiro Aka Fredy Vunjabei Kashalizwana Mobeto Hamisa, anabaki Tu
 
Nadhani Wanawake Hawajui Ni Nini Wanataka, Fikria Uwe Tajiri Watakusaliti Uwe Hauna Kipato Pia Utasalitiwa.. Kijana Wawatu Kutoka Ukingani Fredy Ngajiro Aka Fredy Vunjabei Kashalizwana Mobeto Hamisa, anabaki Tu
Jamani hata kama kama unakula kuku kila siku kuna siku utamiss vidagaa vyenye ndimu na pilipili kwa mbali....au nasema uongo ndugu yangu?!
 
Back
Top Bottom