Fred Mpendazoe: Siwaelewi Tundu Lissu na CHADEMA

Machadema yamekua kama misukule, kila wimbo wa Lissu yanacheza tu bila hata kufuata midundo, hata akiweka sauti ya jenereta tu misukule watacheza kisa kaweka Lissu. Wamesahau :

"Wezi wa Kuku wanauawa, wakati ccm wamempa fomu mwizi Lowasa anazunguka kutafuta wadhamini" By Tundu Lissu. Leo kabadili CD machadema yanacheza tu!
Wezi wa rambirambi nyinyi
 
Simwelewi Tundu Antipas Lissu na Chadema.

Nilipata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mbunge wa jimbo la Singida Mashariki alipokuwa akichangia hivi karibuni kuhusu suala la hatua ambazo zimechukuliwa na seriklai kuhusu makinikia au mabaki ya mchanga kutoka kwenye migodi ya dhahabu.

Kwa upande wangu nilimuona alitumia lugha kali sana na alikuwa na ghadhabu. Nilijiuliza sana kuhusu mchango alioutoa na ghadhabu alizoonyesha. Imebidi nijaribu kufuatilia misismamo yake, huu ni mtazamo wangu tu.

Nilianza kumfahamu Tundu Lissu mwaka 1997 alipokuwa akifanya kazi LEAT na alifaya kazi nyingi na baadhi zililisaidia Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira, NEMC wakati huo mimi nilikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu.Ni mwanasheria mzuri sana. Na sijasikia kashifa yoyote juu yake. Nilimweshimu sana kipindi hicho.

Nikiwa Mbunge kupitia CCM 2005-2010 moja wa wabunge walionivutia katika michango yao hasa kuhusu kupiga vita ufisadi alikuwa ni Lissu, Dk Slaa na Zitto Kabwe. Walikuwa upinzani lakini walikuwa wanajenga hoja vizuri.Walipokuwa wakijenga hoja juu ya ufisadi, hawakuacha kumtaja Lowassa.

Mwaka 2015 wakati Lowassa anahamia Chadema kutoka CCM nilipata taabu kubwa nilipomwona Tundu Lissu akiwa ndiye alikuwa akimtetea Lowassa kuhamia Chadema na akimlaumu Dk Slaa.

Wakati wa kampeni 2015 UKAWA ilikuwa na kazi ngumu kuwashawishi watanzania kuhusu suala la ufisadi. Ajenda ya ufisadi ikafa. Uchaguzi ukafanyika, watanzania wakaamua waendelee kuongozwa na CCM. CCM ikaunda serikali.

Serikali ya CCM chini ya uongozi wa John Pombe Magufuli (JPM) ikaanza kushughulikia suala la ubadhirifu, uzembe, na maadili kwa watumishi wa umma. Watumishi wengi walichukuliwa hatua kali na serikali ya CCM chini ya uongozi wa JPM. Mtakumbuka, kuna kiongozi a;liyekuwa analipwa mishahara 17.

Mtakumbuka uozo kwenye bandari ya Dar es salaam.Na mtakumbuka kwamba walipatikana wafanya kazi hewa zaidi ya elfu 10, wanafunzi hewa na suala la madawa ya kulevya.

Tundu Lissu na Chadema walilalamika juu ya hatua zilizochukuliwa na serikali, wakisema bwatu hao waliochukuliwa hatua wanaonewa au utaratibu uliotumika ni mbovu. Mashaka yangu juu ya Mheshimiwa Tundu Lissu yakazidi kuwa makubwa.

Lakini pia mtakumbuka kuhusu suala la UKUTA. Wabunge wa UKAWA walikuwa wakifunga midomo wakiwa bungeni wakidai demokrasia pana. Lakini kwa sasa ni dhahiri kwa watu wengi kuwa ndani ya CCM kuna demokrasia pana kuliko ndani ya Chadema.

Hili limedhibitishwa na uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki. CCM ilifanya mchakato wa kidemokrasia kuwapata wabunge wa Afrika Mashariki kuliko ilivyokuwa ndani ya Chadema.

Haya yote yaliyofanyika ndani ya Chadema Lissu akiwemo na ni mwanasheria Mkuu wa Chadema. Ninaanza kujiridhisha kwamba Mheshimiwa Tundu Lissu siye niliyemfahamu.

Rais John Pombe Magufuli amedhubutu kuchukua hatua juu ya upotevu wa mapato yaliyotokana na kupelekwa makinikia nje ya nchi na kuagiza uchunguzi ufanyike. Ripoti ya uchunguzi imefichua ufisadi wa kutisha kwenye usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Watanzania wengi wazalendo waliosikiliza ripoti hiyo wameumia sana kwa taarifa zilizomo kwenye ripoti hiyo.

Watanzania tumenyonywa kiasi cha kutosha.
Mliopata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu, amesema Rais amefanya jambo la hovyo sana. Na alionekana kukasirika sana.Hiki kimenishitua sana na ninashawishika kuamini kwamba Lissu hayuko sawa, ana ulemavu usioonekana kwa macho. Tundu Lissu ni mwanasheria mzuri sana lakini amekosa roho ya kuipenda nchi yake, amekosa chembe ya roho ya uzalendo.

Ninaamini vyama vya siasa vinatakiwa kuungana katika masuala ambayo yana maslahi mapana kitaifa kama hili suala la makinikia kupelekwa nje ya nchi. Aidha, wataalamu wanatakiwa kujitokeza kutoa ushauri namna ya kuboresha ripoti iliyotolewa na kuisaidia serikali ili iweze kuisaidia serikali kuchukua hatua sitahiki.
Lakini Tundu Lissu alikebehi au kudhihaki hatua ikliyochukuliwa na serikali.

Wapo watanzania wengi nwaliomwamini sana Tundu Lissu na wanataabika na misimamo yake ya hivi karibuni kama ninavyotaabika. Na ni kweli pia kwamba kuelekea uchaguzi mkuu 2015, Chadema ilikuwa tumaini la watanzania wengi. Lakini kwa sasa, ni vigumu kuelewa Chadema kama chama kinapigania nini au ajenda yake ni nini. Chadema imepoteza mwelekeo na inapoteza fursa ya kushika dola.
Habari za CCM, ndivyo ulivyojeruhiwa kiakili kiasi hiki? Kweli njaa mwisho wa yote, kuna nafasi moja ya U-DC huko Tabora huenda ukabahatisha.
 
Kweli wewe samaki nshonzi, badala ya kujibu hoja za mzee, wewe unamshambulia binafsi.
Jamii Forums inazidi kushuka hadhi Mkuu, Chachu Ombara .

Yaani badala ya watu kuishambulia hoja, wanamshambulia mleta hoja Fred Mpendazoe .Hii ni mbaya sana kwa sababu unapoanza kumshambulia asiye mkamilifu kama mimi na wewe hapo ndipo mwanzo wa vurugu na matusii yasiyo na msingi wowote.

Binafsi naamini kuwa, Busara ni pamoja na kukubali jambo usilolielewa na kuacha wanaolielewa kuchangia.Badala ya kumshambulia mtoa hoja kwa mitusi, kejeli na hata wakati mwingine dharau ni bora mtu ukakaa kimya ili kuendelea kulinda heshima yake.

Ukiishambulia hoja kwa nguvu za hoja na si hoja za nguvu unaonekana wa maana kuliko kumtusi mtoa hoja.

Asalaam.
 
Kama unavyosema huwaelewi wao hata wao hawakuelewi ww kwa nn hutaki kuwaelewa pia nadhan hawaelewi kwa nn hujapata uteuz wowote mpaka sasa
 
Nilikua naikiria sana juu ya hili jambo kwa wapinzani kama ulivyofikiria ww Mpendazoe , nikasema.nijipe mda kujua ni nn haswa Msimamo wa Upinzani/Lissu juu ya hili.
Nimemsikia Lissu kaeleza kwa dakika zisizopungua kumi.
Nimemuelewa hivii.

Hoja yake si kuzuia mchakato wa upotevu wa madini nchini kutoendelea , hoja yake ni Weekness za kisheria zilizopo msabaha na njia zinazotumika kuwahukumu hawa wawekezaji.

Ipo hivyo, Sheria zinazozungumziwa ji sheria za madini za mwaka 1997/98 na 2010, zinawapa nguvu kubwa sana wawekezaji wa madini kufanya hayo waliyoyafanya. Mfano : Sheria ya Kutowadai kodi mpaka kampuni itangaze faidi,pamoja na kuwapa full mandatory ya kuchukua chotechote wanachokipata na kukipeleka wanapojua wao. Sasa leo mchanga umekamatwa , tunasema.ulikua unaibiwa Je Sheria zetu haziwatuhusu wao kuchukua mchanga huo. ?

Kilio hapa ni nchi ilishamessUp kwnye utungaji wa sheria , na Lissu anaona ni upuuzi kudeal na watu waliopo sawa kisheria , badala ya kuitisha mchakato wa mabadiliko ya sheria haraka iwezekanavyo.

Msikilize Pia Mbunge Ally ..

My take.
Precaution ichukuliwe sana kwnye haya yanayoendelea , hili swala likifika mahakamani huwenda tukaja kujikuta tunailipa Accacia Mamilion ya pesa kama Fidia na kuendelea kuwaumiza watanzania.
Tuna refference kesi nyingi sana za style hiii ambapo serikali ilijikuta ikiangukia Pua na kuyalipa makampuni fidia kubwa huku chanzo kikubwa kikiwa ni mikataba mibovu.
 
Simwelewi Tundu Antipas Lissu na Chadema.

Nilipata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mbunge wa jimbo la Singida Mashariki alipokuwa akichangia hivi karibuni kuhusu suala la hatua ambazo zimechukuliwa na seriklai kuhusu makinikia au mabaki ya mchanga kutoka kwenye migodi ya dhahabu.

Kwa upande wangu nilimuona alitumia lugha kali sana na alikuwa na ghadhabu. Nilijiuliza sana kuhusu mchango alioutoa na ghadhabu alizoonyesha. Imebidi nijaribu kufuatilia misismamo yake, huu ni mtazamo wangu tu.

Nilianza kumfahamu Tundu Lissu mwaka 1997 alipokuwa akifanya kazi LEAT na alifaya kazi nyingi na baadhi zililisaidia Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira, NEMC wakati huo mimi nilikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu.Ni mwanasheria mzuri sana. Na sijasikia kashifa yoyote juu yake. Nilimweshimu sana kipindi hicho.

Nikiwa Mbunge kupitia CCM 2005-2010 moja wa wabunge walionivutia katika michango yao hasa kuhusu kupiga vita ufisadi alikuwa ni Lissu, Dk Slaa na Zitto Kabwe. Walikuwa upinzani lakini walikuwa wanajenga hoja vizuri.Walipokuwa wakijenga hoja juu ya ufisadi, hawakuacha kumtaja Lowassa.

Mwaka 2015 wakati Lowassa anahamia Chadema kutoka CCM nilipata taabu kubwa nilipomwona Tundu Lissu akiwa ndiye alikuwa akimtetea Lowassa kuhamia Chadema na akimlaumu Dk Slaa.

Wakati wa kampeni 2015 UKAWA ilikuwa na kazi ngumu kuwashawishi watanzania kuhusu suala la ufisadi. Ajenda ya ufisadi ikafa. Uchaguzi ukafanyika, watanzania wakaamua waendelee kuongozwa na CCM. CCM ikaunda serikali.

Serikali ya CCM chini ya uongozi wa John Pombe Magufuli (JPM) ikaanza kushughulikia suala la ubadhirifu, uzembe, na maadili kwa watumishi wa umma. Watumishi wengi walichukuliwa hatua kali na serikali ya CCM chini ya uongozi wa JPM. Mtakumbuka, kuna kiongozi a;liyekuwa analipwa mishahara 17.

Mtakumbuka uozo kwenye bandari ya Dar es salaam.Na mtakumbuka kwamba walipatikana wafanya kazi hewa zaidi ya elfu 10, wanafunzi hewa na suala la madawa ya kulevya.

Tundu Lissu na Chadema walilalamika juu ya hatua zilizochukuliwa na serikali, wakisema bwatu hao waliochukuliwa hatua wanaonewa au utaratibu uliotumika ni mbovu. Mashaka yangu juu ya Mheshimiwa Tundu Lissu yakazidi kuwa makubwa.

Lakini pia mtakumbuka kuhusu suala la UKUTA. Wabunge wa UKAWA walikuwa wakifunga midomo wakiwa bungeni wakidai demokrasia pana. Lakini kwa sasa ni dhahiri kwa watu wengi kuwa ndani ya CCM kuna demokrasia pana kuliko ndani ya Chadema.

Hili limedhibitishwa na uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki. CCM ilifanya mchakato wa kidemokrasia kuwapata wabunge wa Afrika Mashariki kuliko ilivyokuwa ndani ya Chadema.

Haya yote yaliyofanyika ndani ya Chadema Lissu akiwemo na ni mwanasheria Mkuu wa Chadema. Ninaanza kujiridhisha kwamba Mheshimiwa Tundu Lissu siye niliyemfahamu.

Rais John Pombe Magufuli amedhubutu kuchukua hatua juu ya upotevu wa mapato yaliyotokana na kupelekwa makinikia nje ya nchi na kuagiza uchunguzi ufanyike. Ripoti ya uchunguzi imefichua ufisadi wa kutisha kwenye usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Watanzania wengi wazalendo waliosikiliza ripoti hiyo wameumia sana kwa taarifa zilizomo kwenye ripoti hiyo.

Watanzania tumenyonywa kiasi cha kutosha.
Mliopata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu, amesema Rais amefanya jambo la hovyo sana. Na alionekana kukasirika sana.Hiki kimenishitua sana na ninashawishika kuamini kwamba Lissu hayuko sawa, ana ulemavu usioonekana kwa macho. Tundu Lissu ni mwanasheria mzuri sana lakini amekosa roho ya kuipenda nchi yake, amekosa chembe ya roho ya uzalendo.

Ninaamini vyama vya siasa vinatakiwa kuungana katika masuala ambayo yana maslahi mapana kitaifa kama hili suala la makinikia kupelekwa nje ya nchi. Aidha, wataalamu wanatakiwa kujitokeza kutoa ushauri namna ya kuboresha ripoti iliyotolewa na kuisaidia serikali ili iweze kuisaidia serikali kuchukua hatua sitahiki.
Lakini Tundu Lissu alikebehi au kudhihaki hatua ikliyochukuliwa na serikali.

Wapo watanzania wengi nwaliomwamini sana Tundu Lissu na wanataabika na misimamo yake ya hivi karibuni kama ninavyotaabika. Na ni kweli pia kwamba kuelekea uchaguzi mkuu 2015, Chadema ilikuwa tumaini la watanzania wengi. Lakini kwa sasa, ni vigumu kuelewa Chadema kama chama kinapigania nini au ajenda yake ni nini. Chadema imepoteza mwelekeo na inapoteza fursa ya kushika dola.
lissu bado kidogo naye atahesabika kama adui wa taifa. ama amechanganyikiwa au anakula kwenye mkono wa maadui. kama walivyo wanasheria wengi nchi hii wanauza taaluma
yao ya sheria kwa mwenye hela. hawajali haki iko wapi. tundu lissu naye ni mamluki tu.
 
Inawezekana mpendazoe ana IQ kubwa mara ya ishirini ya ninyi. Kama mnabisha leteni majibu yenu ya IQ mliyowahi kupima. Hizi ni akili za hovyo kabisa kuwahi kutokea
 
Hukujua kwamba huyo jamaa anastahiki kupelekwa mirembe kwa matibabu ?!
 
CHADEMA na manguli wake ilikuwa zamani. Baada ya kubadili gia angani, ni waigizaji tu hakuna wanalosimamia. Ili kujua Hilo angalia tu matusi, dhihaka, vichekesho, maudhi wanapojibu thread yako. Wanaojibu kwa hoja unawatafuta kwa taabu sana. Na hata ukiamua muelimishane hoja kwa hoja, watashindwa kuendelea na kukimbilia kwenye matusi na kejeli.
Usishangae ndo CHADEMA ya sasa hivi baada ya U turn. Pitia tu huzi huu, utapata picha!
 
Maji na mafuta ni vimiminika lakini haviungani. Kadhalika aangaliaye matokeo na yule aangaliaye chanzo mawazo yao hayawezi kuwiana.Mwenye kuona matokeo hataona aendako mwenye kuona chanzo wakati mwenye kuona chanzo ataona aendako mwenye kuona matokeo
 
Nafasi ya ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro imeshajazwa. Wewe umekatwa mkia huaminiki tena hiyo m3 ya usajili uliyopewa ndiyo mwisho wa mchezo, utasugua sana bench.
 
Huwa na pata shida sana kutambua kama hii forum bado ni ya great thinkers au ni ya vilaza, maana mtu anapotakiwa kujibu kwa hoja anaanza kuleta kashfa na wengine wanalaumu eti kwanini amehama chama, hii si sawa kila mmoja yupo huru kufanya maamuzi anayoyataka, hunahaki ya kumlaumu kwa lolote. Sasa nimejua kwanini Mzee wa ufipa anawaburuza ni kwasababu anaongoza vilaza wasiojielewa wakiambiwa tukana wanatukana hawana akili ya kujitegemea.
Nilidhani huenda nawe ni GT. Kumbe huna tofauti na unaowalaumu. Umethibitishaje kuwa hao unaowalaumu ni wa (ama wanatoka) Ufipa. Kwa maoni yako kila anayeipinga CCM/selikari ni mwanachama CDM
 
Chama cha siasa kinapingwa na chama cha siasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom