Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
 
Mhuuu ukimwamini mwanasiasa unaweza kufa kihoro. Welcome back home
 
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Finiria watu wenye utapeli mkubwa Kama hawa wangekabidhiwa nchi kitokea Nini,wanajidanya wao na wake zao,au wanamdanganya Nani?
Jeji lubuvu aliona mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni nini,kama binadamu wote ni sawa kwanini kurudi familia ya Lowassa watu wasiozidi kumi CCM wawe shida na tafurani kwa UKAWA?
Hii inaonyesha wapo watu hawajiamini wanatembelea nyota za wengine.
Kumbuka mbuyu ulianza kama mchicha,nae Lowassa alitokea huko matopeni kama walivyo wananchi wengi hadi akafikia hadhi ya kuwa mtaji kwa chama na Taifa.
 
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.

Mdogo wetu aksante sana kwa kutuaga.
Tunamsubiri Mama yetu nae aje kutuaga.
Mlipokelewa vzr.
 
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Anachotetea kiko dhahiri. The family has given in to pressure. Wamejitangazia kuacha siasa
 
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Tunamtakia maisha mema na wakati wowote ategemee kuteuliwa na kukabidhiwa uwezo wa kuzitumia rasilimali za watanzania

In God we trust
 
Fred karibu sana na pole na maisha ya upotevu issue ni kujenga taifa. Nijambo gumu sana wewe kukaa ktk genge la wahuni usinge weza.
Tayari unamtukana lowasa kuwa ni mmojawapo wa wahuni

In God we trust
 
Back
Top Bottom