Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Kada Mbowe yupo Chadema kimkakatiPlan B ni kuifumua kutoka Ndani...safari hiii amerudi na waChache yaani yeye Familia yake na Mpagazi wao Mgeja!!!
Fred karibu sana na pole na maisha ya upotevu issue ni kujenga taifa. Nijambo gumu sana wewe kukaa ktk genge la wahuni usinge weza.
Kikwete na Lubuva waliona mbaliFiniria watu wenye utapeli mkubwa Kama hawa wangekabidhiwa nchi kitokea Nini,wanajidanya wao na wake zao,au wanamdanganya Nani?
Jeji lubuvu aliona mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaojielewa wote wapo CCM.
Sahauni
Mwaka Jana aliteuliwa kugombea ubunge na chadema monduli then dakika za mwisho akawagomea

Lowasa hakufaa kuwa rais,hongera watanzania kwa kumchagua Magufuli
Kuteuliwa sio hoja naibu spika aliteuliwa kugombea unaibu spika lakini hakuna mwanachama wa ccmMwaka Jana aliteuliwa kugombea ubunge na chadema monduli then dakika za mwisho akawagomea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio walimteua mtu asie mwanachama wao? Je, katiba ya chama cha chadema inaruhusu hilo?Kuteuliwa sio hoja naibu spika aliteuliwa kugombea unaibu spika lakini hakuna mwanachama wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Kiswahili ni rahisi sana!Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.