Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Hivi hawa wanajifanya kama zile familia za Pakistan zakina Nawaz Sharif wanamiliki hisa za nchi. Hizi ni familia zinamwisho mbaya na kuwadharau sana watu wa Arusha wakiwatetemekea hawa watajishusha heshima. Hapa sisemi ni vibaya kuwa CCM hapana lakini watu lazima muwe na msimamo. Mnahama wote mnarudi wote huu mchezo kuwafanya wa Tz wajinga sana.
 
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Waende tu hao ndo wanafaidi matunda ya uhuru
 
Sawa wasaka urais, huko nafikiri upo 2020 kama jamaa mtakubaliana naye!!
 
natafakali kwa sauti kubwa,endapo mwaka 2015 angechaguliwa kuwa presidar via CDM ivi leo angerudi nyumbani kama anavyodai saiz
 
Mnafiki haishiwi maneno isipokuwa ya ukweli. Ukweli na unafiki havichangamani. Nendeni nyumbani, jasiri haachi asili . CCM kwa asili ni ... na sifa hizo mnazo. Hongera kwa uamuzi mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi
Wakati ni mwalimu mzuri sana
Utayatapika maneno haya
Nyie endeleeni kuwadanganya WaTz
 
Back
Top Bottom