Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

Hussein Mwinyi kafanyiwa kwa nini yeye asifanyiwe.

Hii awamu ya 6 na ya pili kwa magufuli, itakuwa awamu chafu kweli kweli.

Hi yote ni mikakati ya kutujengea URAISI kama wa museveni na Kagame, Iraiso wa SUPER GLUE
 
Mtoto anataka ubunge kwenye jimbo ambalo baba alilitumikia miaka 10 na zaidi..ngoja akaendeleze kazi iliyofanywa na baba yake..
 
Namuhurumia yule msaliti. Maana ni wazi anaenda kutangazwa mtoto wa lowaza, Hawa huwa hawaachani ukiwaunga mkono. Mfano mzuri ni kule zenji. Akiwa na bahati asubiri u-DAS KAMA ZAWADI
 
huu ni usulutan sasa, mahela yote hayo bado anataka tu, imefika wakat na masikin wafaid keki ya taifa! nifedhea kufanya jimbo mali yafamilia, masai shitukeni.
Huu ni ujinga wa watanzania walio wengi. Wanaacha ccm inagawa ubunge kwa familia. Kule Zanzibar wamefanya hivyo kwa mtoto wa mzee ruksa.
 
Kijana ametoka ktk familia ya mwanasiasa mkongwe hapa nchini. Kwa kuwa amekaa karibu sana na ua la waridi kwa muda mrefu, naye pia ananukia waridi. Ni mfano wa viongozi wengi vijana ambao wamefanikiwa kuyaona maisha ya kisiasa kupitia kwa wazazi wao.

Ni kijana ambaye anaaminika, hana "scandal" kwa kuwa baba yake alifanikiwa kutenganisha maisha yake na kisiasa na kifamilia. Wana Monduli ni jukumu lenu kumpa aridhio kijana wenu.
 
Namelock Sokoine , Julius Kalanga Laizer, Fredrick Lowassa kutakuwa na Patashika nguo kuchanika Jimbo la Monduli.
 
Chadema hoi bin taaban.
Hebu jiunge Mara moja na Chadema kwa njia ya kisasa kama unajiunga na Republican au Conservative Kyle majuu!
IMG_20200714_222459.jpg
 
Back
Top Bottom