Fred Isack Ngakonda

chanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
344
Reaction score
190
Ndugu Fred Isack baada ya kuja kwenye ofisi yetu kunitapeli mida ya SAA moja jioni 2014 huku ukitoka machozi na kutiririka makamasi ukiomba msaada wa pesa ya nauli ya kwenda Dar es salaam kwa madai kwamba umeibiwa pesa yote kwenye basi,ukiomba nikukopeshe 50,000/ uniachie vyeti vya shule ndipo kwa huruma yangu nikakubali kukupa 20,000/ na kuniachia vyeti vyako kwa ahadi ya kuja kunipa pesa yangu asubui,lkn mpaka leo sijakutia machoni naomba nikupe taarifa vyeti vyako navichoma moto bila kujua kama uliviiba au no vyeti vyako. Naambatanisha mkataba wako na living certificate cheti cha CSEE sitakiweka kwa sababu ya kiusalama.
 

Attachments

  • 1533311985302-1164284204.jpg
    104.3 KB · Views: 43
  • 1533312078531998743410.jpg
    89.4 KB · Views: 41
  • 1533312104914863868584.jpg
    148.9 KB · Views: 47
Zipo njia.nyingi za kumpata kabla hujachoma hivyo vyeti. Kwani alipokupa vyeti alikuonyesha na kitambulisho kwamba ndio yeye na hajaiba hivuo vyeti? Usivichome
 
Jamani je umeshawahi fikiria endapo fredy alipata matatizo makubwa zaidi ya hayo aliyokuwa kuwa nayo?

Au umekimbilia kumuhukumu tu kuwa ametapeli?
 
Kwa serikali yetu ya saivi niijuavyo inathamini sana vyeti
Nafkiri ukivichoma umekula hasara kubwa ndugu yangu😎
 
Hivi ukimkopesha mtu kwa mkataba na tarehe inayodaiwa kuwa mliingia nae mkataba ikawa imeandika 04/02/014 mkipelekana mahakamani hiyo tarehe utaielezeaje? Nafikiri mleta mada na wewe haukuwa makini wakati unampa mkopo huyo mdeni wako. Ila pole.
 
Una umri gani? Nikajua milioni 20.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…