Frank Mwalembe amnyima usingizi Aeshi jimbo la Sumbawanga Mjini

Vijana ni vyema tukawa critically kuliko kukubali maneno ya kupandikizwa badala ya kuangalia hoja,,,vijana wa tanzania tusipoamua kubadilika natabiri hii nchi itaendelea kuwa maskini kwa miaka 200 ijayo,,tutaendelea kuburuza mkia milele
 
Inawezekana! Vichanga vya kike huzaliwa bikra. Tena utazipata nyingi tu.

uzuri umekiri kuwa ni vichanga tu kwa upande wa ccm vyenye credibility ya kuwa safi waliobaki wote ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi
 
Nimepita Sumbawanga katika kufuatilia Uungwaji mkono wa EL na Mtoto wa Mkulima ukweli ni kwamba katika CDM kuna mgogoro mkubwa utatokea wakati wa uteuzi wa mgombea, Cassian Kaegele maarufu kama Upendo nae anaonyesha nia kupitia CDM pia yule Msengezi alionyesha nia lakini Viongozi wa mkoa wamekula kiapo kwamba endapo Ikuwo hatapitishwa watajitoa CDM wanasema Ikuwo kasaidia sana CDM tangu 2010 kanunua mapikipiki na kumjengea Mzee Nkoswe femu za maduka kwani mzee alikua hoi kiuchumi. hili ni tatizo lakini pia bado yupo kijana Limo ingawa Wazee wamepewa kitu kidogo kwa hiyo kwa maoni yangu Mgogoro unafukuta.
 
Heshima kwako rafiki yangu aloycious,
Unajua wafipa wamekua wakidharaulika sana among wageni wanaoishi na kufanya shughuli zao kila siku apo swanga,,mimi si mbaguzi in anyway na sikua na tatizo lolote na issue wageni kukamata njia kuu za uchumi kwny wilaya hiyo mpaka hapa karibuni niliposikia kauli fulani kutoka kwa rafiki zangu kama wa4 hivi ambao wote si wafipa kwa asili but wanafanya shughuli zao,,,wafipa wanadharaulika na watu waliowapokea,,kulikua na uwezo wa kutomuuzia mgeni yeyote ardhi bali wenyewe kwa wenyewe but wafipa hawakuwahi kufanya ivyo,,,itafika kipindi wataamua kuwa wabaguzi n am sure it will be really bad,,,but hilo litakua limesababishwa na elements za wageni,,,na ikifikia stage wakatumia silaha iyo ao kina ikuwo hawatakua na chao,,,so far siasa za wafipa ziko fair sana na wanasikiliza mtu yeyote bila kujali ameanza kutoa misaada since 2013 or kaja recently mkuu trust me

Mkuu Ikuwo wafipa hawawezi mpauongozi.
 
Leo nadhani wanaSumbawanga mjini,,wanaRukwa na Tanzania kwa ujumla mmethibitisha nilichowaambia nilipoanzisha uzi huu hapa jukwaani miezi miwili iliyopita,,,FRANK MWALEMBE kapitishwa na chama kusimama kama mgombea,,unless makao makuu ccm waamue kufanya makosa ya kumrudisha mgombea aliekiuka kanuni na kutoa rushwa za waziwazi ndugu AESHI,,kama ambavyo leo kawalipa na kuwatuma vijana wa chama wakafanye fujo leo ofisi za ccm wilaya
 
Back
Top Bottom